Recent content by great kali

  1. great kali

    TALA&BRANCH kwanini system zenu rahisi kuibiwa na kusababisha mpate hasara kubwa

    yote umemaliza wewe mara kiki mara kazi katika thread hiyo umeona nimeongelea suala la kazi sihitaji chochote
  2. great kali

    TALA&BRANCH kwanini system zenu rahisi kuibiwa na kusababisha mpate hasara kubwa

    Habari, Inasikitisha kuona kampuni kubwa zinazojishughulisha na miamala ya kifedha zikiwa na system poor kiasi na rahisi kuibika ok by the way niachane na hilo..... Nilikuwa na jaribio langu la ki teknolojia kwa hawa Tala na Branch lengo likiwa ni kubypass madeni yangu niliyokuwa nayo katika...
  3. great kali

    Karibu kwetu tukuhudumie mkopo usio na riba wala dhamana

    [emoji122][emoji122][emoji122]
  4. great kali

    Karibu kwetu tukuhudumie mkopo usio na riba wala dhamana

    Tumeweka utaratibu huo kwa sababu wengi wa wateja hawapo serious unakuta anaomba mkopo surveyor akifika mteja anakuwa hayupo responded ndiyo maana tukaamua kufanya hivyo ili mtu akitoa kiasi chake kidogo cha pesa atakuwa responded
  5. great kali

    Karibu kwetu tukuhudumie mkopo usio na riba wala dhamana

    Kama huamini mkuu huna haja ya kuendelea kubishana ila kama unaamini basi karibu.
  6. great kali

    Karibu kwetu tukuhudumie mkopo usio na riba wala dhamana

    Mkuu hiyo ni gharama ya surveyor kwa ajili ya kukagua hivyo hiyo gharama hutolewa kabla ya surveyor kutoka ofisini na hiyo ni taratibu ya ofisi,vilevile surveyor akifika eneo husika ndiyo ataidhinisha mkopo na uhakika wa kuidhinisha mkopo upo kama hataidhinisha pesa yako ya kumsafirishia...
  7. great kali

    Karibu kwetu tukuhudumie mkopo usio na riba wala dhamana

    Sio mkali mkuu isipokuwa najibu kutokana na mtu alivyoni attack mfano wengi wanasema mimi tapeli sina la ziada la kuwaambia kwa sabau sio lazima kukopa
  8. great kali

    Karibu kwetu tukuhudumie mkopo usio na riba wala dhamana

    Asiyejua maana usimwambie maana,maana ukimwambia maana ataharibu maana.
  9. great kali

    Karibu kwetu tukuhudumie mkopo usio na riba wala dhamana

    Gharama ya kumsafirisha surveyor tsh 100,000
  10. great kali

    Karibu kwetu tukuhudumie mkopo usio na riba wala dhamana

    Tuwasiliane asubuhi sasa hivi ni usiku sana. Kupokea simu za ofisi
Back
Top Bottom