Recent content by grand navigator1310

  1. G

    Spiritual church, Demons and Witchcraft

    ukimuomba mungu kwa imani,matumaini na maleongo anakupatia fasta.lakini ili uwe tayari kupokea nilazima ukubali kutoa,namaanisha inabidi uvunje ukuta uliojiwekea baina yako na mungu nao ni dhambi hata zile za mauti.mfano wewe ni mzulumati au unafanya ngono ovyoovyo kwa kuvunja amri za mungu na...
  2. G

    Ikulu ya Dar ihamishwe ndani ya miezi 18 kuanzia 01/01/2015

    lol..!yericko akipotea ujue yuko chamber anachakata taarifa za kiintelijensia. akionekana sasa ni kasheshe,haya sasa kamwaga madini hayo.yericko raisi ajaye kwa tiketi ya ukawa
  3. G

    Mahubiri ya kwanza ya Askofu Kilaini tangu sakata la Escrow(VIDEO)

    ukuda tu na wewe.kujamba ajambe mwingine harufu ya ushuzi itokee kwako.
  4. G

    Escrow tuachane nayo,tufanye mengine

    haswaaaa.upo barabara.
  5. G

    Escrow tuachane nayo,tufanye mengine

    haswa.mbia simba trust ndo mwenye project nzima ya escrol na chakushangaza ndiye mkuu wa nchi.alafu unategemea nani awajibishwe kwa project ya mtu.yeye kama raisi atoke madarakani kwa kuwa ndie mwenye project ya escrow.pamoja na project zote zilizopita za kuifilisi nchi hii.hakika jakaya kikwete...
  6. G

    Chama cha ACT Tanzania, kimetangaza rasmi kuwa muasisi wa chama hicho ni Zitto Kabwe

    ZITTO ZUBERI KABWE(ZZK) ni chatu. hang'ati ila anameza na kuviringisha ili anyonge vizuri lakini akichanjwa mkiani husikia maumivu na kumsababishia mauti.zzk moja ya wajanja wakitanzania wanaotajirika kupitia siasa na kuifanya siasa kuwa biashara yenye gharama ya hali ya juu.
Back
Top Bottom