Kwa wale waliooa haishangai mkeo kukukashifu mchana wakati usiku anakupa mambo matamu.
Tunamshukuru kwa kuendelea kuchangia Simba kuongoza ligi tena kwa pointi magoli mengi kuliko Wavuvi wa Kambale FC.
Mimi nilikuwa nimeweka ambayo sio kali ila kwa faida alizoainisha DAB nimetoa jana na kuweka ile ya usiku wa giza nene mpaka abiria wa siti ya nyuma ya dereva wenyewe kwa wenyewe ndani ya gari hawaonani vizuri mpaka taa iwashwe.
Sent from my D5303 using JamiiForums mobile app
Mbona mmeacha kukamata sasa kama wanaume kweli.
Ndio mngejua kufuata sheria na kukurupuka ni vitu viwili tofauti.
Sent from my D5303 using JamiiForums mobile app
Waulize wao wanamisikiti mingapi yenye hadhi ukitoa ile waliojengewa na matajiri wa ngada na dhuluma mijini.
Si bora wakristo aliowataja wamejenga kwa nguvu zao wenyewe.
Getruda si ajabu kuwa tajiri maana ana biashara zake toka zamani na hategemei sadaka.
Sana sana sadaka anazitumia kulipa...
Waumini wenyewe wamekalia kurogana tu ili kuupata ushekhe huo utafutaji maisha wawe na maisha bora wataufanya saa ngapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo umeanza vizuri kwa kujitahidi kuficha hisia zako lakini umejidhihirisha ilivyo pale ulianza kuuhoji Ukristo mzima kwa matendo ya watu wachache unaowatilia shaka wewe.
Baadae tena umesema ni kwanini watu wasiuache ukristo waende kwenye uislamu tu kwa hoja zako unazohisi wewe kuwa ni sahihi...
Napita hapa eneo la EFATHA Mwenge, hawa polisi wanaokamata gari zenye Tinted ni kwa amri ya nani.
Mheshimiwa Paul Makonda mulika eneo la Mwenge asubuhi hii maana naona kuna kiharufu cha kutafuta chochote kitu hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chekelea hilo tu ila kumbuka wangefanikiwa hili wangehamia kwenye mavazi ya kuficha sura maana hata utumie pikipiki haina tofauti na gari yenye tinted glass.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.