Ukwel ni kwamba ndio ajira zilisitishwa na mh. ule mwz wa6, na hilo kundi la ajira mpya kweli lipo ni takriban watu 3,000
Na uongo ni huu eti watu walienda utumishi leo na katibu kawaambia ajira zao zmefutwaa...kmya kmya! Usimwambie mdogo wako asije kuugua bure.
Uzushi mtupuuu... business as usual. Mnataka tu kutia pressure watu, kwanza huyo katibu hana hayo mamlaka ya kufuta ajira halali bila mwajiriwa kufanya kosa lolote.
Na kama ya kweli hyo taarifa mbona haijatangazwa ktk chombo chochote cha habr had saahz!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.