Recent content by grace shayo

  1. G

    JamiiForums Kuhusishwa kwa watanzani ktk mjadala wa katiba

    hiv n kweli wanaopigania kuhusishwa kwa watanzania katika kujadili katiba mpya wanawapigania watanzania kwel?
  2. G

    JamiiForums Muswada wa Sheria ya Mapitio ya Katiba: Download na pitia uone kilichomo na usambaze

    kwa maoni yangu wanaopigania watanzia kuhusishwa katika majadiliano hayo wangeanza kutufundisha watanzania kwanza katiba yenyewe n nn tufahamu katiba tulio nayo tukisha ijua basi tutajua mapungufu yake alafu ndo tutakua na uwezo wa kuamua nn hatukitaki na kipi kiongezwe maana tutakua tunavijua...
  3. G

    JamiiForums Muswada wa Sheria ya Mapitio ya Katiba: Download na pitia uone kilichomo na usambaze

    je n kwel wanaopigania kuhusishwa kwa watanzania katika kujadili katiba mpya wanapigania watanzania kuhusishwa kwel? Au tunatumia kivuli cha watanzania kutaka kupitisha matakwa yetu?
Back
Top Bottom