Recent content by Gordian Anduru

  1. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Kamwaga atembelea Ubalozi wa Cuba kuhakiki bei ya Gesi

    Chief bei ulizotaja zinawiana. Huku Polepole na Kamwaga wanatafuta uwiano wa elfu hamsini na sita kwa buku mbili
  2. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Mbona Bei ya Kofia ya Mamelody (48,000tshs) ni sawa na bei Jezi ya SImba

    Unauza jezi Alf 32 unajiita timu kubwa Shame on you
  3. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Kamwaga atembelea Ubalozi wa Cuba kuhakiki bei ya Gesi

    We vipi unafuata wanaume kila jukwaa. Ushaleft au
  4. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Mbona Bei ya Kofia ya Mamelody (48,000tshs) ni sawa na bei Jezi ya SImba

    Turudi Kwenye hoja? Jezi imetoka Italia ipi
  5. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Kamwaga atembelea Ubalozi wa Cuba kuhakiki bei ya Gesi

    Swala la kutekwa au kuuwawa binadamu siyo jema kabisa hata Mimi nalipinga sana. Lakini kutufunga kamba kwamba gesi buku mbili siyo sawa pia. Tunaomba bwana kimwaga amwage data zilizopatikana hapo ubalozini
  6. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Kamwaga atembelea Ubalozi wa Cuba kuhakiki bei ya Gesi

    Stereotyping
  7. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Kamwaga atembelea Ubalozi wa Cuba kuhakiki bei ya Gesi

    Tulia tupate data za ubalozi kwanza tupate ukweli
  8. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Mbona Bei ya Kofia ya Mamelody (48,000tshs) ni sawa na bei Jezi ya SImba

    Mnazuzuka na QR Code? Qr code Hadi Kwenye risiti za vyoo vya umma zipo. Ushamba kweli mzigo.
  9. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Mbona Bei ya Kofia ya Mamelody (48,000tshs) ni sawa na bei Jezi ya SImba

    Rudia kusoma post wewe slow learner
  10. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Mbona Bei ya Kofia ya Mamelody (48,000tshs) ni sawa na bei Jezi ya SImba

    Unataka viingilio vya timu kubwa vya Nini? Hangaika na kofia ya Sundowns kwanza. Kolo we
  11. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Mbona Bei ya Kofia ya Mamelody (48,000tshs) ni sawa na bei Jezi ya SImba

    Safi haya matusi ni ishara ya dawa kuingia
  12. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Mbona Bei ya Kofia ya Mamelody (48,000tshs) ni sawa na bei Jezi ya SImba

    hivi Simba wanatuchukuliaje?
  13. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Mbona Bei ya Kofia ya Mamelody (48,000tshs) ni sawa na bei Jezi ya SImba

    Bei ya kofia ya Mamelody ni randi 330 sawa na 48,000 pesa ya Tanzania na jezi ya Mamelody ni zaidi ya 150,000 tshs. Sababu ya kuuzwa bei mbaya ni kwamba Jezi za mamelody zinatengenezwa na kampuni ya ULAYA iitwayo PUMA(Ujerumani) Pia kwa mujibu wa Mghana Micky Jnr Jezi ya Esperance ni euro 84...
  14. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania FIFA - CAF World Cup Ranking, Top 10 clubs

    Hapa fifa
  15. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Kama Yanga ni timu kubwa na inafanya vyema kwanini kila mwaka inaanzia Shule ya Msingi CAFCL na Simba isiyofanya vyema inaanzia Chuo Kikuu CAFCL?

    Siyo kanuni mpya. Simba waliwahi kujitangaza kabla ya kujua idadi ya timu Itakazoshiriki mashindano
Back
Top Bottom