Sajo nakubaliana na ww 100% ....tukirudi ktk mazingira ya Kwanza prosecutor ndio amesahau kuweka majumuisho ya hasara ya mwajiri, haikuzuii ku claim damages...as long as utaieleza mahakama sababu ya kufanya hilo.....ila km yangejumuishwa ktk kesi ya jinai thn kucngekua na ulazima huo
Yah ni Kweli ...hukumu ingeweza kutoa adhabu kwa kosa la jinai vilevile damages kwa huyo muajiri....ss km mwajiri hajapewa damages zake haki yake haiwezi potea ...so anatumia hukumu ile kuonyesha uhalali au ground ya ku claim damages zake.....lkn pia....
Mtu akifanya battery mfano umempiga mtu...
Anza na polisi...Kungushi na wizi ni makosa ya jinai...hivyo basi mwajiriwa atashtakiwa na jamhuri.km utapata prosecutor mzuri Kwenye majumuisho ya kesi ataiomba mahakama iamuru alipehizo mali alizoziiba, gharama na hasara aliyokusababishia.
Asipofanya uombe nakala ya hukumu ya hiyo kesi ambayo...
Sheria ktk upande wa mabaraza haina makali ....ni kiwa na maana ya kwamba inachukuliwa km ni usuluhishi pande zote mnatikiwa kushiriki kwa hiyari bila shurutisho lolote...
Kwa maana hiyo km kuna shurutisho kwa upande moja unaweza usitoe ushirikiano kamilifu ili maafikiano na usuluhishio...
Natumaini rafiki yko alipitia hatua zote ikiwemo baraza la usuluhishi na upatanishi CMA,
Kimsingi unapaswa kuhakikisha kuwa hakuna rufaa iliyokatwa dhidi yake...
Baada ya hilo utahitajika kufanya application (Execution order) kuomba mahakama itoe agizo la ulipwaji ktk hiyo mahakama husika yani...
Sheria zetu zimeweka wazi kuwa mtt chini ya miaka 12 hawezi kuhukumiwa kwa kosa la jinai isipokua na endapo tu itathibitika kua wakati akifanya kosa hilo alikua akitambua fika kua anachofanya ni kosa.(yn alikua akielewa kua hakupaswa kufanya hilo jambo)
Lakini mtt chini ya miaka 7 hawezi...
Moja ya kazi za wanasheria ni kutoa huduma bila malipo yani (legal Aid) as a cooperate Social responsibility mara nyingi ni kwa wale wenye uhitaji maalum na wasio na uwezo wa kifedha.
Sambamba na hilo kuna legal Aid schemes, vituo vinavyotoa msaada wa kisheria bila malipo.
Mfano:-
1.State scheme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.