Recent content by goooder

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kweli Tanzania inahitaji Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya?

    katiba mpya yaja hapo ndipo watakapo lia na kusaga meno baada ya kupoteza vyeo vyao, tuvute subira tu MWENYEZI MUNGU anatuona watanzania tunavyolia:bange:
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu: Mwaka mmoja wa kifo cha Regia Mtema

    kipin kinachojirinhuko tujuze bana
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Upinzani unaweza kuingia ikulu

    mmmmh, akili mkichwa, napita tu
  4. G

    JamiiForums Tanzania Meya wa Jiji la Mwanza awaandalia hafla ya chakula cha mchana mamalishe na wamachinga

    haa haa haaa WAMACHINGA wamenunuliwa kwa bei rahiiiiisiii, hii yote ni kutafuta kula na siyo kura. kazi ipo
  5. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yazidi Kujikoroga mwaka 2013

    kajipange tena uje na thread nyingine , ulidhani warioba ataacha kumsapoti bossi wake aliye mpa ulaji, na kuhusu gesi ulitataka waambiwe kuwa wananchi wa mtwara na lindi ni WAPUUZI na WAHAAINI, kajipange kijana
  6. G

    JamiiForums Tanzania Prof Muhongo asema Mtwara wamekuwa wakitumia umeme wa Kiihansi kwa muda mrefu. Ni kweli?

    <br> <br> kwa hili la gas waziri mwongo (muhooongo) analigawa taifa , anataka kutuambia mapato yote ya bujeti ya nchi yanatoka dar eti 80 per cent. kama ni hivo tusitengemee viwanda kujengwa mikoa mingine
Back
Top Bottom