Lizibon umepanic brother na nikupe Siri kuhusu hilo jengo la vijana ccm ambalo mnashare na lowasa hapo lumumba litarudi serikalini na sababu ya lowasa kulitaifisha anazo kwikwikwikwiiiii.
Ukienda hospital kupata huduma bila rushwa upati huduma stahiki.
Ukienda kwenye office za serikali kupata huduma lazima kitu kidogo.
Ukataka cheo chochote ndani ya serikali hata kama unasifa bila rushwa upandi.
Je wewe unaemtuhumu lowasa upo sahihi kweli na hili hali Huna huakika na tuhuma...
Kwanza jichunguze wewe katika maisha yako kuna mambo mangapi umeyapata kwa kutoa kidogo ili ufanikiwe katika maisha yako
Wewe ni mwanaume usichangie mada kama mtu asiyefikiria na kushikiwa akili .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.