Hivi unaposema watu waweke akiba, jaribu kumfikiria mfanyakazi wa serikali ambaye take home yake ni laki mbili hadi tatu, na hapo anacheza kibati na wenzake ili amudu kuwalipia ada watoto wake. Na tayari siku 30 zimepita hajapewa mshahara wake anakopa vitu dukani, hivi huoni ni jinsi gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.