Recent content by GOODFRIEND

  1. G

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuwa kati ya watu bora sana duniani, soma vitabu 500

    NIMEIPENDA SANA HII NIUNGE MA EMAIL nyakimugomba@gmail.com
  2. G

    JamiiForums Tanzania M-pawa kweli itamtoa mjasiriamali

    Wadau m-pawa nimeisikia ikitangazwa sana kuwa itatusaidia sana wajasiriamali hasa wadogo. Kwa kuwa tukiweka hela yetu itakuwa inazaa faida. Naomba mwenye uelewa wa namna faida inavyopatikana anisaidie nisije kuwa napishana na fursa nzuri ya biashara?
  3. G

    JamiiForums Tanzania Majina ya migodi ya madini iliyopo Tanzania

    Thank u
  4. G

    JamiiForums Tanzania Majina ya migodi ya madini iliyopo Tanzania

    Naomba nisaidiwe majina ya migodi ya madini yafuatayo na sehemu ilipo hapa Tanzania. 1. Dhahabu 2. Almas 3. Gas 4. Uranium 5. Mafuta 6. Makaa ya mawe 7. Tanzanite
Back
Top Bottom