Ni
Ni sawa kaka pombe nayo inachangia umasikini, ila nimmpinga mtoa mada ameiterm pombe kama ni sababu kuu, kuna watu hata radha ya pombe hawijui ila wanakufa maskini kisa wanawake (ndugu yake pombe) kunawengine kamali, napia nimempinga mtoa mada kwamba wanunuaji wa pombe tunawatajirisha...
Mnavoongea as if pombe ndio sababu kuu ya umasikini lakin na wanywaji wanatajirisha matajiri, tajiri wa Azam je ni pombe zile zinamtajirisha, kila kitu kinamadhara yake sikuhiz. Kuna nchi ni marufuku pombe lakin umaskini upo palepale...
Na mm nilisimuli wanasema Ulikuw unga wa njano miaka ya 70s kuna ukata na njaa uliichapa bongoland nzima ko ukawa msahada wa mahindi kutoka US yalikuja ya njano unga unatoka wa njano nasikia ad bata walianza kususa ugali wa njano mana kilikuwa ni chakula kikuu ukiachana na ugali wa Muhogo,mtama...
imefanana na ya Kyela kuna eneo linaitwa Bujonde jina Bujonde” limetokana na neno beyond ambalo Wanyaki wa kyela awakulinyaka vizuri kutoka kwa mzungu...sina uwakika nilipewa kahistori na Mmjomba mda kidogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.