Recent content by gonjasame

  1. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hi wadau naombeni solution WhatsApp yangu imefungwa

    Bado inakataa tu boss wangu
  2. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hi wadau naombeni solution WhatsApp yangu imefungwa

    Hi wadau naombeni solution WhatsApp yangu imefungwa
  3. G

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza vifaa mbalimbali vya mifugo na kilimo

    Tunauza heater za joto kwa ajili ya kulelea vifaranga. Heater hii unaweza kuongeza joto kutoka watts 100,watts200,watts300 Zina mfumo wa Feni ambao usambaza joto Bandani kote. Ni rahisi kutumia kwani unachomeka kwenye holder kama Taa zingine. ●Call. 0747 608 608 0656 446 991 ●BEI...
  4. G

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza vifaa mbalimbali vya mifugo na kilimo

    Tupo dar es Salaam Tegeta kwa ndevu Darajani opposite na The one Hall.njia ya kwenda jeshini. Tunafanya free delivery kwa dar es Salaam pia tuna wakala mikoani kote. Kwa mawasiliano zaidi tupigie kwa namba 0747 608 608 au 0656 446 991.
  5. G

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza vifaa mbalimbali vya mifugo na kilimo

    Tupo Dar es Salaam Tegeta kwa ndevu Darajani opposite na The one Hall, njia ya kwenda jeshini. Tunafanya free delivery kwa dsm ,pia tuna mawakala mikoani kote. Kwa mawasiliano zaidi tupigie kwa namba 0747 608 608 au 0656 446 991
  6. G

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza vifaa mbalimbali vya mifugo na kilimo

    Tupo Dar es Salaam Tegeta kwa ndevu Darajani opposite na The one Hall, njia ya kwenda jeshini. Kwa mawasiliano zaidi tupigie kwa namba 0747 608 608 au 0656 446 991
  7. G

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza vifaa mbalimbali vya mifugo na kilimo

    Je, wewe ni mfugaji wa nguruwe? Na hivi unafahamu kuwa nguruwe anahitaji maji mengi safi na salama ili aweze kupooza mwili,kula vizuri na kuwa na afya njema kila siku? •Mifugo plus Group tunauza PIG NIPPLE DRINKER SYSTEM. Hiki ni kifaa maalumu kwa ajili ya kunyweshea maji nguruwe. Kifaa hiki...
  8. G

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza vifaa mbalimbali vya mifugo na kilimo

    WE ARE SELLING SEED PLANTER. Hii ni mashine inatumika kupandia mbegu kama mahindi, kunde,maharage NK ●Bei 100,000/=Tsh | Laki Moja ●Call/text/Whatsapp 0747 608 608 ●Muda wetu wa kazi ni saa 12:00Asubuhi hadi saa 10:00usiku. ●Ofisi zetu zipo Tegeta kwa ndevu darajani opposite na The one Hall...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumtambua kuku asiyetaga na kumuondoa (culling)

    CULLING ni kitendo cha kumtambua kuku asiyetaga au asiyezalisha na kumuondoa kwenye kundi la kuku wako wa mayai kwa kumchinja, kumuuza au kwa matumizi mengine ya nyumbani. Kwanini ufanye CULLING?? Kupunguza hasara za kupoteza chakula na dawa kwa kuku wasiozalisha (wasiotaga) Kuwapa nafasi kuku...
  10. G

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza vifaa mbalimbali vya mifugo na kilimo

    Mashine zetu zina ubora wa hali ya juu. Call 0747 608 608
  11. G

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza vifaa mbalimbali vya mifugo na kilimo

    Tunauza mashine ya kutotolesha vifaranga Call 0747 608 608
  12. G

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza vifaa mbalimbali vya mifugo na kilimo

    Tunauza mini egg incubator ■Inatumia solar,umeme na betri. ■Inabeba mayai 60. ■Inageuza mayai yenyewe. ■Inamfumo wa kupima yai lenye mbegu. ■Inakuja na warranty ya mwaka mmoja. ■Inacontrol joto na unyevu nyevu yenyewe. ■Inageuza kwa 98% ■Inatotoa mayai aina zote [kuku,kanga,bata,kware na...
  13. G

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza vifaa mbalimbali vya mifugo na kilimo

    Mashine ya kuangulia vifaranga Call 0747 608 608 Dsm tegeta
  14. G

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza vifaa mbalimbali vya mifugo na kilimo

    Tumekuja na ofa mpya za [FULL EGG AUTOMATIC INCUBATORS]mashine za kutotoleshea vifaranga zinazotumia solar, umeme na betri. Ofa zetu: Mayai 16 bei 150,000/=Tsh Mayai 24 bei 175,000/=Tsh Mayai 56 bei 300,000/=Tsh Mayai 104 bei 400,000/Tsh ●Call 0656 446 991 0682 44 6464 0747 608 608 ■TUPO DAR...
Back
Top Bottom