Recent content by Gone gud

  1. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upo utofauti mkubwa sana katika mitazamo na tafsiri kuhusu wanawake wazuri

    Na mwanaume mzuri awe na mashine angalau inch 8
  2. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kutafuta mchumba

    yawezekana sikua serious ila reaction yake inatia hofu unajua kabisa ni tapeli utaendelea kutaka kutapeliwa? :)
  3. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kutafuta mchumba

    Nmekosa mwenye sifa nizitakazo hlf kila mtu ana akili tofauti yawezekana mimi nilivutiwa kupata huku jf vipi una jingine ?
  4. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kutafuta mchumba

    Kwani nilikua natafuta hawara ?
  5. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kutafuta mchumba

    Ktk kufanya assessment ni lazima uwe na maswali ambayo mtu hayatarajii na wew uwe makini na reaction ya huyo mtu ni rahisi sana kupata majibu mwenyewe
  6. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kutafuta mchumba

    Yawezekana sikua serious kwenda makwao ni kuwapima tuu lkn reaction zao zina walakini unajua kabisa something fishy mkuu kuwa mpembuzi
  7. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kutafuta mchumba

    wewe si kirahisi vile nataka nikupigie simu kila siku usiku saa 7 tuongee tena kwa sauti kwa muda wa mwezi mzima kabla ya chochote ujue mtu usiyemjua usimkurupukie kama zile risasi za Kinondoni mkuu
  8. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kutafuta mchumba

    Yani acha wazee wa kubinya
  9. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kutafuta mchumba

    Hahahahahaha yani wewe acha tuu vituko mwingine aliniambia atoke moro aje akae kwangu siku mbili tuongee vizuri tupange mipango eti hana pa kufikia wengine tuliwashiana moto kabisa kuchambana kisa kuwapa live
  10. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kutafuta mchumba

    Hahahahahaha mkuu mimi ni mwanamke kabisa najua huwezi kuamini ila nilivyo ni ngumu kudanganywa na wanaume wenye akili ndogo mpaka uwe mjanja zaidi yangu
  11. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kutafuta mchumba

    Tunajifunza kupitia watu maisha ni kusaidiana
  12. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kutafuta mchumba

    Labda wife kaenda kujifungua?
  13. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kutafuta mchumba

    Sasa hapo nitawadhalilisha tuwaache tuu
  14. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kutafuta mchumba

    Mkuu mimi ni kisu sio popobawa
  15. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kutafuta mchumba

    Yani ukitaka kumkamata tapeli mwambie akuoneshe kwake atasimama mita 200
Back
Top Bottom