Recent content by gonamwitu

 1. gonamwitu

  Matapeli mnaotapeli kwa njia ya mtandao 'laana haiwezi kuwaacha'

  SMS ya mpesa au tigo pesa lazima iwe imeandikwa mpesa au tigopesa sasa unalizwaje hapo
 2. gonamwitu

  Tetesi: Eti, Diamond ana-date na Poshy Queen, ingawa mahusiano yao hayapo official huku mtandaoni

  Hatuzungumzii kusalitiwa tunazungumzia kuwapata wanawake na kuwatembezea dudu basi kusalitiwa yoyote tu anasalitiwa
 3. gonamwitu

  Vanessa Mdee ni mwanakulitaka na amelipata

  Halafu huyu jamaa aliumwaga hakuomba hata sh kumi ya MTU kujitibia huyu mwamba anayejiita dimpoz
 4. gonamwitu

  Soma ujifunze: Jinsi kijiwe changu kilivyosababisha mtu akalizwa 2M na tapeli leo

  Ulivyocheka dudu haikuchomoka kweli kwenye ngwengede.
 5. gonamwitu

  Ushauri : Nahisi nimeambukizwa ugonjwa wa zinaa

  Sawa nitapima
 6. gonamwitu

  Ushauri : Nahisi nimeambukizwa ugonjwa wa zinaa

  Yes nimesoma some articles on google it's gonorrhea buddy,
 7. gonamwitu

  Ushauri : Nahisi nimeambukizwa ugonjwa wa zinaa

  Asante nimeashapoa
 8. gonamwitu

  Ushauri : Nahisi nimeambukizwa ugonjwa wa zinaa

  Daaha acha tu mkuu mtoto ana miuno hatari
 9. gonamwitu

  Ushauri : Nahisi nimeambukizwa ugonjwa wa zinaa

  Huyo demu huwezi hata kumdhania kaka jinsi alivyo, nashukuru kwa ushauri wako
 10. gonamwitu

  Ushauri : Nahisi nimeambukizwa ugonjwa wa zinaa

  Bima ya afya ina cover hii
 11. gonamwitu

  Ushauri : Nahisi nimeambukizwa ugonjwa wa zinaa

  Habari wana jamiiforum wiki kama mbili zilizopita kuna mwanamke nilifanya nae mapenzi bila kinga baada ya kufanya nae mapenzi after one week kuna mabadiliko kadhaa yamejitokeza na ninahisi kaniambukiza ugonjwa wa Zinaa 1: Nikikojoa nasikia maumivu sana na baada ya kumaliza kukojoa nikikaa kuna...
 12. gonamwitu

  Mjue tapeli aliyewatapeli graduates wengi kwa kuwahadaa nafasi za kazi NMB

  Nimemcheki fb nna mutual friend mmoja na yeye kiukweli sijawahi kutapeliwa na MTU yoyote though kwenye harakati za kuomba kazi nimeshakutana na matapeli wengi sana good lucky najua kuwa kazi yoyote professional huwezi kuombwa hela yoyote ile ukishaaply unasubiri interview tu so ukitapeliwa...
 13. gonamwitu

  Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

  Kwani chadema si wana redbrigade? Wako wapi? Na kazi yao ni nini? Km wanashindwa kuwalinda viongozi wao? Unaanzaje kuomba ulinzi kwa watu unaodai hawakupendi na wanataka wakuue? Wakati unaomba huo ulinzi kwanini usijihami kwanza mwenyewe kuliko kusubiri?
 14. gonamwitu

  Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

  Jf Kennedy hakupigwa km mbowe alidunguliwa na sniper aliyekuwa juu ya ghorofa isingewezekana hata kidogo jfk kuvamiwa na kupigwa kwasababu ya ulinzi mzito aliokuwa nao mbowe alivamiwa na watu 3 wakampa kichapo that means walimshussha kutoka kwenye gari wakampa kelbu za maana swali ni je dereva...
Top Bottom