Recent content by GON KITOMARY

  1. G

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo Dar kufanya maandamano ya amani kumuunga mkono Rais Magufuli

    ACT KUDHIHIRISHA UCCM WAKE KWA VITENDO.. CHAMA cha ACT- Wazalendo, Mkoa wa Dar es Salaam, umeandaa maandamano ya kumuunga mkono Rais Dkt. John Magufuli katika mapambano yake dhidi ya rushwa, ufisadi na kusimamia ukusanyaji kodi kama ilani ya chama hicho inavyosema. Katibu wa chama...
  2. G

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    Habari zilizotufikia jioni hii zinasema kwamba Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina-Ompeashi-Kombani (pichani), amefariki dunia leo huko India alikokuwa akipata matibabu ya saratani.- Taarifa kutoka ofisi za Bunge zimethibitisha kifo hicho na kueleza kwamba...
  3. G

  4. G

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    Poleni wafiwa wote na watanzania wote kwa ujumla.. R.I.P celin.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wa UKAWA watazungumza na waandishi wa habari jioni hii Colosseum Hotel

    Embu nijuze yanayojiri hapo sasa hiv mkuu...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wa UKAWA watazungumza na waandishi wa habari jioni hii Colosseum Hotel

    Kuwni wapole wakuu mambo yanaenda vizuri punde mtajuzwa.....
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kinachojiri kutoka Millenium Tower DSM, Kutangazwa mgombea Urais wa UKAWA

    pamoja kamanda
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kinachojiri kutoka Millenium Tower DSM, Kutangazwa mgombea Urais wa UKAWA

    Muafaka kwa majimbo umesha malizika bado majimbo 15 yakiwemo majimbo mapya 13 na yazamani 2, na viongozi wetu naona ndo wanarejea kwenye meza ya busara kwaajili ya kumalizia mchakato huo na kutangaza azma hiyo hivi punde... hii ilichelewa ni kutokana na kusuburia kujua majimbo mapya ambayo...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wa UKAWA watazungumza na waandishi wa habari jioni hii Colosseum Hotel

    Umesomeka kamanda makene na Tunasubiria hatma ya nchi ambayo iko mikononi mwa UKAWA..
  10. G

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud afukuzwa kazi, Said Hassan Said apewa nafasi hiyo

    Mhe Said Hassan Said awa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amefanya Uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar, kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu 55(1)cha Katiba ya Zanzibar ya 1984...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria mkuu wa zanzibar afukuzwa kazi.

    Mhe Said Hassan Said awa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amefanya Uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar, kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu 55(1)cha Katiba ya Zanzibar ya 1984...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Ajira (zenye tija) nchini: Ripoti ya Benki ya Dunia na Mikakati ya Serikali ya Tanzania

    Tanzania ni miongoni mwa nchi barikiwa Afrika, Tatizo la Ajira Tanzania wa kulaumiwa ni serikali haiweki mifumo mizuri ya kuajiri watu.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Tangazo la tuition kwa watanzania wenye uhitaji wa ufaulu tu!

    SUCCESSFUL EDUCATION & TRAINING CENTRE.REG NO,P2673 Ni kituo cha Mitihani ya Necta Na kinatoa huduma zifuatazo: 1.Elimu ya Sekondari kwa miaka2 yaani QT. 2.Wanaorudia mitihani ya 4m iv na vi combination zote 3.Pre-form V comb. zote 4. Computer na English course na tunayo pia Nursery .BEI...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Successful

    successful
Back
Top Bottom