Nyumba iko mwandege magengeni wilaya ya mkuranga,mkoa wa pwani, dakika 5 kutokea main road ya kilwa road ilipo, Ina vyumba vinne kimoja master dinning room,sittng room,kitchen,stoo.uhani ina chumba na sitting room na mabanda mawili ya chumba seble eneo sqm 1500.bei milioni 90 ina umeme na maji...