Recent content by Goldenmind

  1. Goldenmind

    Msaada: Baba alitoa shamba Kama sadaka kanisani, familia tunataka kulirejesha tuanzie wapi?

    Ukishasema mtoto wa jack chan hana haja ya kuachiwa mali jina tu linambeba ni kama kina watoto wa platnumz tiffa dangote jina tu ni urithi tosha wanaweza anzisha chochote kikafanikiwa usifananishe na watoto wa makapuku
  2. Goldenmind

    SoC04 Huduma za maji safi na salama nchini kwa kutumia mfumo wa usafishaji maji utumiao nishati ya jua

    Shukran mkuu nawe hongera kwa uzi wako wa ushirikishwaji wa wananchi katika bajeti, andiko makini sana.
  3. Goldenmind

    SoC04 Huduma za maji safi na salama nchini kwa kutumia mfumo wa usafishaji maji utumiao nishati ya jua

    Anha, kwenye utangulizi na hitimisho niliweka maneno yanayoitaka Tanzania kuchukua hatua kuwapatia wananchi wake huduma ya maji safi na salama, nikikusudia Serikali ya Tanzania-Wizara ya maji na umwagiliaji, ambayo husimamia sera, kanuni, na maendeleo ya miundombinu inayohusiana na usambazaji wa...
  4. Goldenmind

    SoC04 Uanzishwaji wa Tuzo za Ubunge kama sehemu ya kuimarisha Demokrasia na kukuza Utawala Bora nchini

    Utangulizi Tuzo ni alama ya heshima na kutambua mchango mkubwa na mafanikio katika sekta mbalimbali za maisha. Katika muktadha wa bunge, tuzo za ubunge huchukua jukumu muhimu katika kuenzi uongozi bora, utumishi wa umma wa heshima, na mchango wa wabunge katika maendeleo ya taifa lao. Chanzo...
  5. Goldenmind

    SoC04 Huduma za maji safi na salama nchini kwa kutumia mfumo wa usafishaji maji utumiao nishati ya jua

    Naam mkuu upande wa gharama nimekuacha wazi nikitaraji kama nchi tukidhamiria vijana wetu wabunifu watatengeneza mifumo hii kitachofanyika ni kuimport vifaa, pia kwakua mashine ni mobile tunaweza kuanza na chache maeneo yaliyo jirani yakishare kupunguza gharama.
  6. Goldenmind

    SoC04 Huduma za maji safi na salama nchini kwa kutumia mfumo wa usafishaji maji utumiao nishati ya jua

    Chanzo: wordvision.org/blog Utangulizi Tanzania ni nchi iliyojaaliwa rasilimali maji za kutosha kama mito, maziwa na vyanzo vya maji chini ya ardhi. Licha ya ukwasi wa rasilimali hizi takwimu zinaonesha kuwa ni asilimia 55 ya wananchi waishio vijijini na asilimia 86 ya wananchi waishio mijini...
  7. Goldenmind

    SoC04 Tanzania yenye Miji safi, barabara salama na kiwango cha chini cha uhalifu kwa msaada wa teknolojia ya kamera za uchunguzi (Surveillance Cameras)

    Chanzo: Latest news and case studies Utangulizi Tanzania ni nchi iliyojengwa kwa taswira ya amani na usalama kwa raia. Hii imepelekea nchi yetu kutambulika kama kisiwa cha amani. Licha ya sifa hizi nzuri, tafiti za hivi karibuni zinaonyesha kwamba ukuaji wa kasi wa miji na majiji yetu...
Back
Top Bottom