Katika sintofahamu wanafunzi wa mwaka wa nne wa udaktari KCMC ambao bado wako semester 1 mpaka tarehe 12/06/2026 Kwa mujibu wa ratiba ya chuo,wametakiwa kulipia ada yote ya semester 2 ndipo uruhusiwe kufanya mitihani huo wa end of semester 1(UE) unaotarajiwa kuanza tar 8/06/2026.
Wanafunzi...
Chuo Cha KCMC kimetangaza rasmi kupitia CR wa wanafunzi udaktari (MD) mwaka wa nne kikiwataka kulipa ada ya semester ya pili ilihali bado wako semester ya kwanza na kinatishia kuwa hakitawaruhusu kufanya mitihani wa kumaliza semester ya kwanza (end of semester exam) hata kama ada yao ya mwaka wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.