Recent content by golden heart

  1. G

    JamiiForums Tanzania laki tatu kwa siku haitoshi

    katika hili hakuna mkweli bungeni zaidi ni sawa na muomba kazi anayefanya kazi kwa maslahi yake mwenyewe.mwalmu analipwa lakitatu kwa mwezi hakuna anayemsikiliza bado anaishi na kile anacho pata.mbunge unadai laki tatu kwa siku ndogo inauma mkulima hata elfu kumi kwa siku nyingi hamuonei huruma...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Jamani kama valentine ndipo ilopofikia hapa...,basi nimeamini mwisho wa dunia upo karibu

    muongo hii ilikuwa nigeria logos umecopy boy
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nini cha kufanya ukiwa JKT?

    thanx broo
  4. G

    JamiiForums Tanzania Nini cha kufanya ukiwa JKT?

    Nia yangu ni kuwa mwanajeshi wa jeshi la wananchi nini cha kufanya nikiwa JKT ili kutimiza ndoto zangu za kuwa mzalendo halisi na kujiunga na JWTZ?
  5. G

    JamiiForums Tanzania JKT: Sijawaelewa

    vtu walivyo angalia kujibu maswali vzuri na kujiamini kwako vyeti vyako umri barua ya kuomba kujiunga kama uliandika ovyo bila muhuliwa mtendaji wala mwenyekiti hufanyi interview. kiukweli kwa asilimia kubwa wametenda haki tofauti na wilivyo kuwa wanasema mitaani.morogoro wameambiwa walipoti...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Asante Mwenyezi

    Baada ya kumaliza interview kwa mkuu wa mkoa ya JKT nakufanikiwa kuchaguliwa tena, sasa imebaki vipimo kwahiyo ukifanikiwa hapo ndio kambini wadau.
  7. G

    JamiiForums Tanzania jkt waliochaguliwa

    kwahiyo reserve anaasilimia ndogo sana kupita
  8. G

    JamiiForums Tanzania jkt waliochaguliwa

    jkt waliochaguliwa wanaoitwa hawa ni reserv ni wa aina gani
  9. G

    JamiiForums Tanzania jkt

    muongo na ndio maana umekataa maswali huku niliko tarehe 17 mwisho wa kupokea maombi na yanapokelewa toka tangazo lilipo tangazwa.
  10. G

    JamiiForums Tanzania jinsi ya kutuma maombi ya jeshi

    unachotakiwa ni kuandika barua inayoenda kwa mkuu wa wilaya yenye anuani yako ya mkuu wa wilaya k.k kupitia kwa mamlaka ya kijiji igongwe muhuli wa mwenyekiti uambatanishe na vivuli vya vyeti vyako cheti cha kuzaliwa cheti cha matokeo ya mwisho na cheti cha usibitisho wa kumalizia elimu ya...
Back
Top Bottom