Recent content by GOLDEN FRANX

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kujitolea

    Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 24 ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza udsm mlimani nasomea shahada ya kwanza ya elimu ya awali BED early childhood education.. lakini kabla ya hapo nimepitia mafunzo hayo ya ualimu elimu ya awali katika ngazi ya diploma nimeiva na nina gpa nzuri saaana...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Mi nimemaliza diploma in early childhood care and education lakini nimeomba bachelor of education in early childhood nna gpa ya 4.6 wamenichagua bachelor of education in adult and community education ambalo c chaguo langu pale wameniandkia bellow competition line ikiwa ni awamu ya pili...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye hitaji la kufundishiwa mtoto wa awali (chekechea) kwa muda wa ziada

    Kwa majina kamili naitwa FRANK JOSEPH JOSEPH nimemaliza elimu ya ualimu katika chuo cha ualimu tarime na kutunukiwa DIPLOMA YA UALIMU WA ELIMU YA AWALI nimeiva vizuri sana na vyeti vyote ninavyo hivyo natafuta nafasi ya kufundisha aidha mtoto mmoja au wengi popote nitafika kwa muda muafaka KWA...
Back
Top Bottom