Ndio mumkumbuke Profesa Mark James Mwandosya alipoandika facebook mwaka juzi na watu wakamponda. Alipoteuliwa huyu jamaa mwenye kigoda, aliandika "MTU AMBAYE HAJAWAHI KUSHIKA WADHIFA WOWOTE NDANI YA CHAMA (HATA UBALOZI WA NYUMBA KUMI) NDIO ANAKUWA MWENYEKITI MPYA WA CCM" Nadhani sasa ndio...
Mh! Kirahisi namna hiyo? Ina maana JPM akiboana na mwenyekiti wake ama viongozi wake chamani anaweza kupokonywa kadi ya uanachama na kupoteza uraisi wake? Nieleweshe tafadhali!
Kiki mnampa wenyewe na mnalalamika wenyewe. Hata 2015 mlisema hapiti. Muache kulia lia na kumkamata kamata, kisa mnawaridhisha wakubwa wenu! Mkitaka asikuze jina lake mwacheni hivyo hivyo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.