Mbunge wa Mtera: Wasiporidhika na vyeti wakasema sijatahiriwa nitatoa nini?

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
720
Haya sasa, naona kasi ya vyeti sasa imetua Bungeni,kwa waheshimiwa ambao nao inasemekana hawajakwenda shule.

Zamu hii sakata limetua kwa Mbunge wa Mtera, Mh Livingstone Joseph Lusinde,yeye alisema hivi:-

"Wanaosema sijasoma, nikitoa vyeti wakawa hawajaridhika wakasema pia sijatahiriwa,je nitoe nini?

Haya sasa.

Mheshimiwa Lusinde wakati Wa kampeni za kugombea uraisi Mwaka 2010 walijitokeza wagombea wenza wakatumia hoja ya kuwa Kibajaji hajasoma, wakashawishi wapiga kura wamtake atoe vyeti vyake. Lakini kibajaji Hakuyumbishwa na hizo propaganda akaendelea kupiga kampeni zinazohusu jimbo lake na hatimae wananchi wakamuelewa wakamchagua kwenye kura za maoni na kumpiga chini Mwanasiasa mkongwe Mzee Malecela na baadae wananchi wakachukua wakaweka waaaa!

Siku Moja katika mkutano Wa kampeni baada ya kumaliza kunadi Sera akauliza swali hivi hawa wanaosema sijasoma na wanataka vyeti, Je nikitoa vyeti alafu wasiporidhika wakasema Sijatahiriwa je nitoe nini?
 
Haya sasa, naona kasi ya vyeti sasa imetua Bungeni,kwa waheshimiwa ambao nao inasemekana hawajakwenda shule.

Zamu hii sakata limetua kwa Mbunge wa Mtera, Mh Livingstone Joseph Lusinde,yeye amesema hivi:-

"Wanaosema sijasoma, nikitoa vyeti wakawa hawajaridhika wakasema pia sijatahiriwa,je nitoe nini?

Haya sasa.
Yaani huyu jamaa akili zake zinamtosha mwenyewe tu. Naona kaacha miupasho kaamua kuanza drama za utupu
 
Haya sasa, naona kasi ya vyeti sasa imetua Bungeni,kwa waheshimiwa ambao nao inasemekana hawajakwenda shule.

Zamu hii sakata limetua kwa Mbunge wa Mtera, Mh Livingstone Joseph Lusinde,yeye amesema hivi:-

"Wanaosema sijasoma, nikitoa vyeti wakawa hawajaridhika wakasema pia sijatahiriwa,je nitoe nini?

Haya sasa.
Hilo jimbo lake limekula hasara kubwa
 
Jamaa hajui kutofautisha kauli hii nikitoa mbele ya jamii itanielewaje akiwa kama mbunge anapaswa achunge kauli zake hii inaonesha wakati anapotamka kauli zake either atakua bwimbwi au ile nyingine
 
Back
Top Bottom