Recent content by gokoko

  1. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni zashika kasi, kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Arusha. Shughuli zasimama, wafanyakazi watoroka makazini

    Nimeona millard ayo ambaye ameshakata matangazo sasahivi. . Leo kuna nyomi kubwa na wamechangamka machalii hapo A town. Sasa idara ya uenezi ya Chadema haina live stream Tv yeyote.......Yaani idara ya habari hapo Chadema bado sana..............
  2. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nimesikitishwa na ubinafsi wa CHADEMA katika mkakati wa wapinzani kusimamisha mgombea mmoja

    Na ninyi wapambe wa Chadema kama Chadema hamna data (takwimu) za kujivunia kwamba mtaweza kuchukua dola kivyenu. Mkijipa matumaini 'feki' kuwa mna nguvu ya kupigana kivyenu mtashindwa uchaguzi (uraisi na ubunge maeneo nyeti) asubuhi na mapema. Zaidi mnatembelea nyota ya Lissu kurudi Tz hadi sasa...
  3. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto Zuberi Kabwe: Watanzania hawatatusamehe tusipokuwa na mgombea mmoja wa Urais, mgombea mmoja kila Jimbo na kila Kata

    Lissu kwa maneno yake na vitendo vyake anashindana Magu na CCM kwa ujumla kwenye huu uchaguzi. Chadema wengine waliobaki wanapambana na ACT kuwa nani ni mpinzani zaidi ya mwenzake na ataunda kambi ya upinzani hiyo 2020. Patamu hapo. Yetu macho.
  4. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto Zuberi Kabwe: Watanzania hawatatusamehe tusipokuwa na mgombea mmoja wa Urais, mgombea mmoja kila Jimbo na kila Kata

    Nasubiri hiyo October, nione ninyi wabinafsi mtakavyoshindwa uchaguzi. Yaani Lissu anataka ushirikiano kutoka moyoni na anajua ndiyo njia pekee ya kupata ushindi lakini wapambe wa Chadema ni wabinafsi kupita maelezo??!!
  5. G

    JamiiForums Tanzania Zitto: CHADEMA walifanya makosa haya ndiyo maana Lowassa akawakimbia, sisi hatutayafanya kwa Membe

    Yaani huyu ngosha ni 'genious'. Hakuna kada ambaye huwa anafanikiwa kuwachezesha 'ndombolo ya solo' hawa nyumbu wa Mwamba. Yaani kilasiku wanacheza muziki wake vizuri sana....Teh teh teh..
  6. G

    JamiiForums Tanzania Zitto: CHADEMA walifanya makosa haya ndiyo maana Lowassa akawakimbia, sisi hatutayafanya kwa Membe

    Teh teh Teh Ngosha upo vizuri kwenye kuchochea kuni....CCM hoyee
  7. G

    JamiiForums Tanzania Zitto: CHADEMA walifanya makosa haya ndiyo maana Lowassa akawakimbia, sisi hatutayafanya kwa Membe

    Yaani ninavyowajua wafuasi wa Mwamba (Mbowe) watalikuza hili jambo kupita kiasi. Na linaweza chochea vita kubwa sana kati ya Chademana ACT na kuondoa uwezekano wa kuungana kwenye uchaguzi huu. Hapo Nyani Ngabu (the Sukuma Genious) atakuwa amefanikiwa sana kufanya 'divide and rule'. Na CCM...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Zitto aonesha busara na ukomavu wa kisiasa kwa kusisitiza hoja ya wapinzani kusimamisha mgombea mmoja, awe Membe au wa kutoka chama kingine

    Yaani wafuasi wa chadema bwana. Ni Lissu Lissu Lissu. Ni mpambanaji mzuri. Lakini kwa mazingira ya sasa hataweza kuisaidia chadema sababu kuna uwezekano atakuwa ndani kipindi chote cha kampeni! Na hapo upinzani wote utakuwa kwishney. Naona kama Chadema wameshaliona hilo na wanamuandaa Nyalandu...
Back
Top Bottom