Recent content by goigoi

  1. G

    January ni lango; panda mbegu yako sasa!

    Asante Sana, Somo zuri Sent using Jamii Forums mobile app
  2. G

    Wapi naweza kupata mashine ya kukaanga karanga?

    Nenda pale ubungo, urafiki textiles. Kuna kampuni inaitwa pollymachines utapata Sent using Jamii Forums mobile app
  3. G

    Wapi naweza kupata mashine ya kukaanga karanga?

    Wewe upo wapi mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. G

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA), Dkt. Irene Isaka

    Waziri nae ajipime kama anatosha Kwenye hiyo nafasi yake Sent using Jamii Forums mobile app
  5. G

    Kwa tukio la jana na mengine, mpaka sasa Rais Magufuli amefikisha asilimia 95 ya kura zote mwaka 2020

    Nafikiri alieanzisha mjadala huu diye mshindi, yule dada wa upande mwingine ndiye mshindi. Mimi siamini kama mkuu hakujua yanayoendelea, angezuia mapema. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. G

    Ruzuku kwa vyama vya Siasa: Mnaonaje tumshauri Rais Magufuli aifutilie mbali ruzuku hii? Ni ufisadi

    Najiuliza kitu hapa, nikweli pascal haujui umuhimu wa vyama vya siasa kweli? Hapa tulipo tusingelikuwepo kama visingekuwepo vyama vya siasa ndugu, yamayofanyika sasa yasingelifanyika.
  7. G

    Kauli hii ya Rais ndiyo matokeo ya chaguzi hizi za hovyo

    Naunga mkono hoja, zakuna haja yakuendelea kushiriki uchaguzi. Mungu ataamua hatima ya haya.
  8. G

    Lowassa: Kalanga alihamia CCM kwa sababu ya deni la TZS Milioni 600

    Kazi kweli Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom