Recent content by gohery

  1. G

    Ananiumiza lakini nashindwa kumuacha

    endelea kuumia si unapenda,achana nae we ----
  2. G

    Natafuta mdhamini wa masomo

    jinsia yangu ni ya kiume,
  3. G

    Natafuta mdhamini wa masomo

    Naitwa abel kikimba ,nimkazi wa Iringa,natokea katika familia yenye hali ya chini sana kiuchumi, kias kwamba kwa elimu ya sekondari nimejisomesha hadi hapa nilipofikia,kwa sasa nimechaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu ngazi ya stashahada,ada na michango mingine kwa mwaka wa kwanza nimetafuta...
  4. G

    Natafuta mdhamini wa kukiendeleza kipaji changu cha uandishi wa vitabu

    Naitwa Abely,ni mkazi wa iringa,nina kipaji cha uandishi wa riwaya na mashairi,ninatafuta mdhamini ambae yupo tayali kuiendeleza kazi yangu,mimi mwandishi ambae najiamini kuwa naweza na endapo ntapata mtu wa kukiendeleza kipaji changu na amini nitakuwa mwandishi mkubwa sana hapa Tanzania...
  5. G

    Natafuta mchumba toka mtwara na dar

    Hodi humu jamani!jaman hodi sana!nimejitokeza humu nikiamin kuwa jamii forum itanitimizia malengo,mim ni mwanaume mwenye miaka 26 ,ni mrf wastani,maji ya kunde,na mtanashati,nipo single na sijawah kuwa na mpenz,natafuta mchumba atakae kuwa wa kuanza kuniingiza kwenye tathnia ya mapenzi,awe na...
Back
Top Bottom