Recent content by gogo la shamba

 1. G

  Mkakati kumvua Lissu ubunge wavuja

  kwa kuendelea kuichagua ccm kuongoza nchi hii iko siko Mungu ataichoma hii nchi,ccm ni laana
 2. G

  Hili laWaziri Lugola ni kashfa mpya kwa Serikali

  ccm ni laana kwa watanzania ni hatari kuliko ukimwi
 3. G

  Tundu acha kuongeza maadui. Njoo upige goti utubu maisha yaendelee

  katika kenge wewe ni kenge namba moja,hivi kwa hali aliyokuwa nayo Tundu lissu ulitaka afuate utaratibu gani?yeye alikuwa anapelekwa kama mtu aliyekufa hafahamu chochote,kwa nini usiwalaumu waliompeleka bila kufuata utaratibu?alafu hiyo serikali imechukua hatua gani baada ya Lissu kupigwa...
 4. G

  Ni Maswali Gani Serikali Inapata Shida Kuyajibu kwenye Hoja za Tundu Lissu?

  jibu sahihi ni kuomba msamaha kwa tote yaliyompata Lissu na kuwaacha wanaomuombea Lisu wapewe nafasi zaidi
 5. G

  Nahau za Nape: Mkulima, nyani na mahindi

  Nape ataeleweka mpaka pale atakapowaomba wananchi kwa kuwaondolea Bunge live
 6. G

  Wanaompinga na kumtukana Rais mtandaoni hawa hapa

  wastaafu kwa kutolipwa mafao yao wafanya kazi kwa kutoongezewa mishahara. wananchi kwa kuwa na maooisha magumu
 7. G

  Polisi wampiga Risasi kijana na kumuua kituoni Arusha

  kuna hatari kesi hiyo akaprwa Lema kwamba,ndie aliyemuua
 8. G

  Serikali: Polisi wameshindwa kuendelea na kazi ya upelelezi wa kesi ya shambulio la Tundu Lissu

  hivi maraisi wastaafu wakisikia haya maneno wanajiona vipi?na wanaona hii nchi inaongozwa na watu wa aina gani?mbona wako kimya tu,na viongozi wa dini haya hawayasikii?kwa hali hii misikiti na makanisa watakuwa wanakwenda kusali wanafiki tu,
 9. G

  Ningekuwa Rais wa nchi nisingeruhusu Tundu Lissu akanyage ardhi ya nchi tena

  na hakuna kipindi wastaafu wametaabika kwa kutolipwa mafao yao kama kipindi hiki cha makufuli,pesa zao zimepelekwa wapi mpaka wanataabika kiasi hicho?
 10. G

  Kwanini Dkt. Kalemani hakamatwi na Polisi kuhusiana na kushambuliwa kwa risasi kwa Tundu Lissu?

  na wakumbuke kwamba mwaka kesho ni uchaguzi mkuu yatasemwa mengi,au uchaguzi utafanyika bila kufanya kampeni?mtasemwa tu,japo ampendi kuambiwa ukweli
 11. G

  Lissu adhibitiwe, asije kuwa anatafuta ufadhili wa mabeberu aingie msituni

  kwa kuwa anatetea lililo haki lazima ataungwa mkono tu na wapenda haki,hivi nyinyi amuoni wastaafu wanavyoteseka kwa kutolipwa mafao yao?
 12. G

  Mtu mwenye ujasiri wa kumtukana Kiongozi wa Nchi!

  viongozi wa ccm hawataki kuambiwa ukweli,hilo ndilo tatizo ukweli kwao ni mmatusi wanachotaka wao ni kusifiwa tu,sasa watu wamechoka hacha watu waseme ukweli kama wewe ni ccm utaumia tu,lakini sisi wasema ukweli hatutoacha kusema ukweli,ukweli sio matusi
Top Bottom