Natamani kuandika kitu juu ya #Mfwende_sawadogo lakini nakosa. Mengi yamezungumzwa juu yake ya pongezi ,namm naungana na nyie wana Jf humu ,kutoa neno la pongezi kwake ....Hongera sana kaka .Mwenyez Mungu akutangulie huko kazini
Na sisi tuliobakia Mungu atusaidie one day wote tupate ...
Hao MT wanachkua watu kulingana na mahitaji yao ..mwaka 2021/2022 walichkua shahada kwa idadi inayo ridhisha karibu kila idara waligusa ..lakini kwa tangazo hili la sasa inaonekana kabisa hao watu wa shashada Watachkuliwa wachache kulingana na mahitaji ya tangazo lao ...so hapo ni kusubiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.