Habari zenu, itifaki ikiwa imezingatiwa.
Naomba kwa yeyote mwenye fomu ya kujiunga na form five SAME BOYS SECONDARY anitumie tafadhali. Ni hilo tu wakuu wangu maana nna mdogo wangu kachaguliwa CBG hapo anahangaika tu. Tumejaribu kutafuta kupitia tovuti ya tamisemi lakini hatujaipata.
Mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.