Recent content by GODY MULLY

  1. G

    gari inauzwa bei nafuu 2.5million

    Nitumie pic sa iv za izo Vitz na iyo Suzuki sa iv mkuu kwenye Whatsap no 0652114918 tufanye biashara Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  2. G

    Hivi nia ya CHADEMA ni nini?

    Kuita kundi la wapigania haki na maendeleo na wapinga Ukoloni wa kijani na Njano MISUKULE ni kitu kibaya sana. Ok trella ya movie ni Jumapili then kwenye uchaguz wa serikal za mitaa ni warning an 2015 tunafanya conclusion Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  3. G

    Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    Acha kupotosha watu bana wasanii walioonyesha interest zao za kisiasa na mirengo yao ni hao vilaza wa leo,pamoja na Prof Jay na Mgosi Mkoloni.Kuhusu Diamond alienda kupiga show kigoma kwenye sherehe ya icho cama mwaka jana. Nadhan mngekuwa na uchungu na nia mngemsaidia Ngwear aliyeplay big role...
  4. G

    Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    Umasikini na njaa ni vitu vibaya sana,na ni bora mtu ukombolewe kifikra na kiakili kuliko kuwa mtumwa wa tumbo. Am sorry kaka zangu JB na Richie niliwaamin sana ila kwa hili mmeniangusha. Kaka yangu Chikoka wew ni bongo movie maskin kuliko wote leo uko huku tena. Ok sawa ila mmejichimbia kaburi...
  5. G

    CHADEMA na CCM wote wanachosha na hawaaminiki

    Nashangaa huvioni vyama vingine kama CUF(Doto) wa CCM, NCCR, UDP, na TLP vyenye wabunge bungen unapambana na CDM Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  6. G

    Halima Mdee: Miongoni mwa watu 5 nchini Tanzania 3 ni CHADEMA

    Mh yupo sawa kabisa na kama CCM mnabisha wekeni tume huru ya Uchaguzi na muache ujanja ujanja tuone kama mtashinda. Kwenye uchaguzi uliopita majimbo ambayo CCM alishinda kihalali ni machache, kwani kuna majimbo ubabe ulitumika pamoja na nguvu ya dola kushinda. Kama kweli mnakubalika...
  7. G

    Katibu wa Bunge Dr.Thomas Kashililah atolea Ufafanuzi Swala la Mhe.Freeman Mbowe.

    Kila kiongozi kashfa zake zikianikwa hali itakuwa siyo shwari ndugu zangu,nadhan mheshimiwa Mbowe asiingiliwe kwenye personal issue zake Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  8. G

    Mauaji ya wakulima Kiteto na UKIMYA wa viongozi WAKUU wa Nchi

    vikao vya usuluhishi vimekaa mara nyingi san kwani kikao cha kwanza kilifanyika kwenye hoteli ya aliyekuwa mbunge wa Kiteto (RIVERINE LODGE) kati ya viongozi wa jamii izo 2,Lakini kwenye kikao cha tar 31 Dec kilishindikana muafaka na hata cha tar 3 Jan pia ivyo ivyo in short jambo liko kisiasa...
  9. G

    Mbunge wa Chalinze, Said Bwanamdogo yu mahututi ICU - MOI

    Kiukweli mimi ata simjui na sijawahi kumsikia ila ok tumuombee
Back
Top Bottom