nashindwa kuelewa kwa sababu mashine za efd ni ni kwa ajili ya tra kukusanya kodi cha ajabu zinauzwa laki sita kama sio unyonyaji ni nini? serikali ikitaka ela macho yake ni kwa mwananchi wa kawaida tu hadi wamchomoe senti ya mwisho
nafikiri jk hana haja ya kuwa makini,anachosubiri ni kumaliza miaka yake minne aondoke.kufanya vizuri au kutofanya vizuri haimjalishi maana hana haja tena ya kura zenu. cha muhimu watazania tuwe makini na nchi yetu.tufanye kazi kwa bidii na kuiombea nchi yetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.