Recent content by Godwin Chilewa

  1. G

    JamiiForums Tanzania Ajira katika TISS zitangazwe?

    Maafisa wa idara hiyo wapo kila kona, na amini usiamini, maafisa wengi wanachukuliwa mikoani kuliko jijini Dar !
  2. G

    JamiiForums Tanzania Nani atakayetuondolea Hili Jiwe?

    Ni nani atakayetuondolea lile jiwe? Hili ndilo swali gumu zaidi walilojiuliza akina Mariam Magdalena, mama yake Yesu, na wale wanawake wengine ile siku ya kwanza ya juma. Nia yao ilikuwa kwenda kaburini, kumpaka mafuta Yesu (aliyeuawa na kuzikwa) ili kukamilisha taratibu za maziko ya kiyahudi...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Ajira katika TISS zitangazwe?

    Shukrani kwa kunielimisha, kiswahili ni lugha ngumu aisee!
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ajira katika TISS zitangazwe?

    Watu wengi wanajiuliza kwa nini Idara ya Usalama wa Taifa TISS haitangazi kazi hadharani kama idara za nje?? Tatizo ni kitu gani? Ukweli ni kuwa muundo na utendaji kazi wa idara za usalama wa Taifa duniani unachanganya sana (uko very complex), na haufanani kama A na A, au 1 na 1 kama watu wengi...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa hutangaza nafasi za kazi ila sio direct kama watu tuvyofikiria

    Muundo na utendaji kazi wa idara za usalama wa Taifa duniani unachanganya sana (uko very complex), na haufanani kama A na A, au 1 na 1 kama watu wengi wanavyodhania. Utofauti huo unatokana na mambo mengi yanayozifinyanga idara hizo ikiwa pamoja na (but not limited to) muundo na asili ya Taifa...
  6. G

Back
Top Bottom