Recent content by godson njamakuya

  1. G

    JamiiForums Tanzania Ni Mwanajeshi halafu ni Bank Teller inawezekanaje?

    Hakuna cha kushangaza hapo, ni kazi kama kazi nyingine.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Chapa tozo kila kona!

    Ooh! ni Kitwanga
  3. G

    JamiiForums Tanzania Chapa tozo kila kona!

    Ingia YouTube msikilize aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na aliyewahi kuwa Mbunge wa Misungwi Mh Charles Kitwangwa akiongelea hii kitu tozo, ameongea mambo ya msingi sana na kuitaka mamlaka husika ikachukue ushauri toka kwake kuhusiana na hii issue ya TOZO.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Leo nimetembelea makaburi ya Rwanda genocide, nimetokwa na machozi

    Mwaka 2012 nilibahatika kutembelea Murambi Genocide Memorial Site, hakika usipokuwa mgumu unaweza kububujikwa na machozi, yako mahanga marefu idadi manane humo ndani kuna vichanja ambavyo juu yake yamepangwa mabaki ya miili ya watu waliiouawa kile kipindi cha mauaji ya kimbari maelfu kwa...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Tiketi za kielektroniki

    Ni kweli, hata wale madalali waliokuwa wanawadaka abiria juu juu na kuwakatia tiketi nao pia mwisho wao umefika.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Tiketi za kielektroniki

    Ok, inakuwaje
  7. G

    JamiiForums Tanzania Tiketi za kielektroniki

    Nimesikia kwamba utaratibu wa kutumia tiketi za kielektroniki umeanza rasmi tarehe ya leo. Tunaambiwa tukate tiketi ya Bus husika online, tunatambua sio Kampuni zote za Mabasi zina website sasa sijui itakuwaje. Mwenye uelewa kuhusu utaratibu huu naomba anieleweshe zaidi.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Vigogo wa Polisi Arusha wadaiwa kumpora mfanyabiashara milioni 3, watupwa lokapu

    Unaweza ukawa na siha njema lakini tabia na mwenendo ukawa mbaya.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Matrafiki wameanza tena kamata kamata

    Yeah! wanatekeleza majukumu yao kisheria.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Vigogo wa Polisi Arusha wadaiwa kumpora mfanyabiashara milioni 3, watupwa lokapu

    Sahihi, ifanyike vetting ya uhakika kuchuja wale wasiokuwa na sifa.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Napataje namba ya NIDA?

    Hamna kitu, nimejaza taarifa zangu zote.Wananijibu niende Ofisi za NIDA kuhakiki taarifa zangu.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Mkuu wa Magereza SACP Mzee Ramadhani Nyamka

    Yeah! ni kweli miaka ya nyuma aliyekuwa Meya wa jiji la Dar es salaam alikuwa anaitwa Ramadhani Nyamka, nadhani huyu CGP mpya atakuwa ni kijana wa Mzee huyo.
Back
Top Bottom