Recent content by Godman

  1. Godman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kila mtu anakemea mauaji ila hamna anayekemea uharibifu wa mali

    Mail inatafutwa, uhai wa Mtu utafidiwa vipi? Isitoshe hao Askari walifanya mauaji hata baada ya uharibifu huo kutokea kwa kupiga risasi Raia Majumbani mwao, nafikiri kama ingetokea mmoja ya Ndugu zako kuuawa usingeandika utumbo huu..
  2. Godman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanayopitia walimu wakati huu baada ya kushiriki kwenye uchafuzi wa kumpitisha Samia

    Nafikiri hawa Walimu ni wa kuwasamehe tu, ni ugumu wa Maisha ndiyo unaosababisha waombe hiyo kazi ya kusimamia ili angalau wajikimu.. Mimi nawafahamu baadhi ya Walimu ambao ni Wapinzani wa haya yanayoendelea, lakini hawana namna, na baadhi yao ndiyo wametoa siri kuwa waliambiwa watiki karatasi...
  3. Godman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hiki ndio kilifanywa na wasimamizi wa uchaguzi ili kupata 98% ya kura za Samia

    Kuna Jamaa katoa ushuhuda, amesema kwenye kituo alichchokua anasimamia, mpaka saa nane mchana Wapiga kura walikuwa hawazidi 40, licha ya jitihada mbalimbali walizofanya wana Fisiem, ikiwemo kufuata Watu hadi Majumbani.. Baadae lilitoka agizo kwamba watiki hizo karatasi za kupigia kura ili...
  4. Godman

    JamiiForums Tanzania Hivi hamsomi mazingira? No way tutamuona akiwa live tena!

    Amani ipi unayoipenda wewe? Watu wanatekwa kila leo halafu unasema kuna amani!
  5. Godman

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polepole hastahili kuonewa huruma wala kuungwa mkono kwa namna yoyote ile

    Huna unachokielewa wewe, muombe Mungu sana akupe mwisho mwema..
  6. Godman

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polepole hastahili kuonewa huruma wala kuungwa mkono kwa namna yoyote ile

    Wewe huna tofauti na Mchawi, hata kama Mtu ni muovu kiasi gani, hasitahili kufanyiwa haya, ingekuwa amekamatwa na kufunguliwa Mashitaka kama ana kesi ya kujibu, ila cha kuleta faraja kwangu ni kuwa hakuna Mtu atakayeishi milele.
  7. Godman

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli tu CCM, inapendwa, inaaminika na inakubalika sana kwa waTanzania wote.

    Kwa hiyo wewe umekuwa msemaji wetu? Utafiti gani uliofanywa mpaka uje na Matokeo hayo? Ulishawahi hata kujua idadi ya Watu waliopo kwenye eneo husika na idadi ya Wahudhuriaji?
  8. Godman

    JamiiForums Tanzania Polepole, Sio kila blunder wakati wa utawala wa Magufuli wakalaumiwa mtandao; hii ni kufanya watu ni wajinga na vilaza

    Kwani kichwa cha habari cha Uzi wako si umemrejelea Mh. Polepole? Sasa kwa nini maelezo yako yasiendane na kichwa cha habari? Hata ufanyaje huwezi aminisha Watu kwamba kipindi cha Magufuli kilikuwa cha hovyo kuliko kipindi hiki na vingine kabla..
  9. Godman

    JamiiForums Tanzania Polepole, Sio kila blunder wakati wa utawala wa Magufuli wakalaumiwa mtandao; hii ni kufanya watu ni wajinga na vilaza

    Ukiwa ni mnufaika wa uozo unaoendelea katika Serikali hii huwezi kuona mapungufu na utaendelea kumpinga kila anayekosoa, ulitakiwa uje na hoja kuonesha anachoongea Mh. Polepole hakina ukweli. Na ndiyo maana niliandika hapo juu kuwa, huenda hukumsikiliza au kama ulimsikiliza basi hukumuelewa...
  10. Godman

    JamiiForums Tanzania Polepole, Sio kila blunder wakati wa utawala wa Magufuli wakalaumiwa mtandao; hii ni kufanya watu ni wajinga na vilaza

    Inawezekana hajamsikiliza vizuri Polepole, maana mimi sikusikia sehemu ambapo amesema kwamba mambo ya maendeleo ya Nchi yaliharibiwa na CCM mtandao kipindi cha Magufuli, ameeleza namna CCM mtandao walivyokuwa wakitumia mbinu mbalimbali kuhujumu Serikali ya awamu ya tano,. Inaonekana huyu...
  11. Godman

    JamiiForums Tanzania Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

    Bandari ni sehemu muhimu kwa usalama wa Nchi, unapowapa Wageni kusimamia sehemu nyeti kama hiyo ni hatari kwa usalama wa nchi, kusema kwamba mapato ya Bandari yameongezeka sioni uhalisia na wala Uchumi wetu haujafunguka kama unavyodai, ndiyo maana Deni la Taifa limeongezeka karibu mara mbili ya...
  12. Godman

    JamiiForums Tanzania Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

    Hivi unafuatilia kweli jinsi mambo yanavyoenda au upo kishabiki zaidi? Angalia Rasilimali zetu jinsi zinavyobufaisha Watu wachache hasa wageni, sehemu muhimu kama Bandali unawapaje wageni ili waendeshe? Leo hii sekta ya Madini wanufaika wakubwa ni wageni ukiacha huyu Rostam Aziz ambaye naye...
  13. Godman

    JamiiForums Tanzania Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

    Inategemea alikuwa anatoa ushauri upi? Huenda manufaa yalionekana, Watu wanazungumza kwa sababu wanaona mambo yanaharibika siku hadi siku huku Mstaafu akiwa karibu na Serikali.
  14. Godman

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Godbless Lema juu ya Ndugai

    Na wewe uwe na matendo mema, kifo cha Mtu siyo cha kufurahia, hata kama ulikuwa humpendi.
  15. Godman

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Godbless Lema juu ya Ndugai

    Kifo ni cha kila Mtu, na wala kifo siyo adhabu, hata wewe nakutabiria utakufa..
Back
Top Bottom