Recent content by Godlove Kabati

  1. Godlove Kabati

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Kibiritingoma

    RIWAYA: KIBIRITINGOMA Imeandikwa na GODLOVE KABATI Maoni: 0763204351 SEHEMU YA SABA Asikudanganye mtu, Ukipata nafasi ya kufurahi we furahi. Pia ukipata nafasi ya kucheka we cheka tu. Furahia nyakati zako zote zilizo bora bila kujibania. Kula vilivyo bora, kunywa vitamu, vaa vinavyonukia...
  2. Godlove Kabati

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Kibiritingoma

    KIBIRITINGOMA Ya Godlove Kabati SEHEMU YA SITA Sikia, Siku zote machaguzi muhimu yanahitaji uwe na moyo wenyw uwezo wa kufanya maamuzi magumu. Yasingefanywa maamuzi magumu na watu wenye mioyo imara huenda tusingepata simulizi tamu na historia za kusimulia Huenda dunia isingekuwa kama ilivyo...
  3. Godlove Kabati

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Kibiritingoma

    RIWAYA: KIBIRITINGOMA Ya: Godlove Kabati Kwa udhamini wa: MAJIVU YA FASIHI WhatsApp: 0763204351 SEHEMU YA TANO Hakika utakutana na nyakati bora zaidi maishani mwako, Kisha utakutana na nyakati ngumu sana, zitakazokuumiza. Lakini kamwe usisahau hakuna kinachodumu milele, kila nyakati...
  4. Godlove Kabati

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Kibiritingoma

    KIBIRITINGOMA Ya: Godlove Kabati Kwa udhamini wa MAJIVU YA FASIHI WhatsApp: 0763204351 SEHEMU YA NNE Usipotumia uwezo wako kuitimiza ndoto yako, wapo watakaoutumia uwezo wako kuzitimiza ndoto zao. Na baada ya kukutumia, hawatakuacha uende mbali. Watahakikisha unabaki kwenye mduara wao ili...
  5. Godlove Kabati

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Kibiritingoma

    KIBIRITINGOMA yake: Godlove Kabati Kwa udhamini wa MAJIVU YA FASIHI SEHEMU YA TATU Aliutazama mlango wa geti lile kwa hofu, akashusha macho yake taratibu mpaka kilipo kitasa. Akasita kukipindua. Akashusha pumzi ndefu ili kujirejeshea ari ya kujiamini. Kisha, "Ngo! Ngo! Ngo!..." Akagonga...
  6. Godlove Kabati

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Kibiritingoma

    KIBIRITINGOMA YA: Godlove Kabati Chini ya udhamini wa: MAJIVU YA FASIHI WhatsApp: 0763204351 SEHEMU YA PILI Chimbuko la jamii yoyote ile huanzia kwenye ngazi ya familia. Familia ni kitovu cha taifa, na ni chemichemi ya tamaduni zote zinazolijenga taifa. Nguzo za familia zinapoyumba, ni...
  7. Godlove Kabati

    JamiiForums Tanzania RIWAYA: KIBIRITINGOMA

    Naam.... UPo uzi mwingine, wenye jina kama hili. Naomba tuufatilie huu Riwaya: Kibiritingoma https://www.jamiiforums.com/threads/riwaya-kibiritingoma.2477542/
  8. Godlove Kabati

    JamiiForums Tanzania RIWAYA: KIBIRITINGOMA

    Kumradhi... Thread hii imepostiwa kimakosa... Ipo nyingine, yenye title kama hii.
  9. Godlove Kabati

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Kibiritingoma

    KIBIRITINGOMA Imeandikwa na, GODLOVE KABATI Kwa udhamini wa, MAJIVU YA FASIHI WhatsApp: 0763204351 SEHEMU YA KWANZA... Dhamiri ni kweli. Humsuta mtu hasa pale anapotembea njia isiyo sahihi. Humkumbusha mtu kuwa, japokuwa hajakamilika, bado anahitaji kuufukuzia ukamilifu kwa juhudi zake zote...
  10. Godlove Kabati

    JamiiForums Tanzania RIWAYA: KIBIRITINGOMA

  11. Godlove Kabati

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Kibiritingoma

    Alikuwa mrembo wa sura, mwenye umbo la kuvutia na sauti ya kuburudisha. Akawa mashuhuri kama fedha, na adimu kama almasi. Sifa hizi, akazitumia kama fimbo, alipokutana na wanaume wenye tamaa kali ya ngono; alipokaribishwa kwenye dunia ya ukahaba. Kisha, akakutana na huyu. Kijana msomi, mwenye...
  12. Godlove Kabati

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Shamba la hela

    Shukrani sana ndugu yangu...
  13. Godlove Kabati

    JamiiForums Tanzania Freddy Ginwala, Movie ya kusisimua na mateso matamu

    Shukrani sana kiongozi... Kalitazame hili tambara
  14. Godlove Kabati

    JamiiForums Tanzania Freddy Ginwala, Movie ya kusisimua na mateso matamu

    PAZIA LA FILAMU 📽🎬 FREDDY (2022) Mungu alimbariki sana Freddy Ginwala, Akamuumbia moyo wa dhahabu, moyo wenye utajiri wa adili na ibada. Akamjaalia tabia njema zilizoambatana na adabu iliyotukuka. Mungu akamuongezea na mali za kumtosha alizoridhika nazo hakika. Unadhani Mungu wetu ana kikomo...
  15. Godlove Kabati

    JamiiForums Tanzania Pazia la filamu 📽🎬: The Da vinci code

    UCHAMBUZI WA FILAMU 📽🎬 THE DA VINCI CODE (2006) -----‐----------------------------- Kwa desturi tunapotazama filamu yoyote ile, tunalenga kuziburudisha nafsi zetu. Sio kazi rahisi mtu akae chini kwa saa moja mpaka mawili amekodolea skrini yake kutazama filamu. Kila mtu ana machaguo yake...
Back
Top Bottom