Recent content by Godlisten Muro

  1. G

    Hii ya Bunge letu na ajali za kushtukizi imekaaje..

    uchunguzi wa kina ni muhimu kubaini kama ni mkono wa Mungu ama ni mkono wa mtu. Kama ni mkono wa Mungu jina la Bwana lihimidiwe kama ni mkono wa mtu.......! RIP dada REGIA
  2. G

    Regia Mtema is No More!

    Rest in peace kamanda, mwanaharakati, mpambanaji na sauti ya vijana na kina mama wa Tanzania. Mungu ailaze mahali pema paradiso roho ya marehemu.Amina
  3. G

    CUF wataka serikali ya umoja wa kitaifa bara

    CUF imefilisika kisera wamegundua hawawezi kuingia madarakani kwa njia ya kura sasa wanategemea kupata ulaji kupitia mgongo wa mabwana zao wa CCM, mimi nililiona mapema na kuamua kuwakimbia na kujiunga na makamanda wa chadema
  4. G

    Jaji Warioba: Sioni kwanini tusiwalipe DOWANS pesa zao....

    Jaji warioba alikuwa sahihi kwani katika taifa lolote linaloamini katika utawala wa sheria mahakama ndio chombo cha mwisho kinachasimamia haki kama ilivyoahinishwa kwenye ibara ya 107 ya katiba yetu ya mwaka 1977, ila kimsingi inapaswa waliyotuingiza kwenye hiyo mikataba mibovu ndiyo walipe na...
  5. G

    Gration Mukoba au Wilfred Lwakatare?

    Ni kweli Lwakatare ni mpiganaji asiyechoka, namkumbuka vizur wakati nikiwa mjumbe wa kamati ya utendaji ya CUF wilaya ya kinondoni yeye akiwa naibu katibu mkuu bara, alivyojitolea kwa hali na mali kupigania maslahi ya wanyonge, hata ndani ya CDM amedhihirisha alivyo kamanda hodari, wanabukoba...
Back
Top Bottom