Ni jioni sana unarejea nyumbani kwako uliko panga uswailini,baada ya uchovu wa kazi,masomo,na zaidi foleni ya jijin,unapigwa na butwaa kuona mtaa unaoishi umezibwa .zimewekwa speaker kubwa na muziki wa taarabu unapigwa hapo kwa sauti ya juu. Siku hiyo ni jumatatu hapo bado weekend.Wadau si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.