Recent content by GodGodzm28

  1. GodGodzm28

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya serikali V/s ndoa ya kanisani

    na kweli ni swali nzur ila mm nina iman hawakuwa wakizini tena ndoa zao ziliduma mamiaka nenda rudi na syo kama hz za kidijitali za leo ndoa tjen kesho habari ya mjini unasikia wameshatalakiana. kaaaaah ni thidaaaaaaa.
  2. GodGodzm28

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya serikali V/s ndoa ya kanisani

    daaaah, wadau nimejaribu kufuatilia majadiliano kimsingi naeza nikasema yote hivi, ila nazidi kupata kigugumizi hasa kwa aliyeleta mada hii kwamba kuna wanaomsapoti na pia kuna wanamhepa wakisisitiza ndoa ya kanisani, ila mimi kwa maoni yangu ni kwamba, hili jambo ni la watu wawili yaani...
Back
Top Bottom