Recent content by Godfrey Tulu

  1. Godfrey Tulu

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Uko sahihi ase lakini kumbuka kila kitu ni taratibu tu na pili arsenal walikuwa nyumbani na uwanja ulijaa mimi niliwaelewa vyema Liverpool wamejitahidi sana mana mwanzoni walikuwa na uoga achana na zile fujo za kelele mzee unaweza kushindwa kukipiga kwa kutetemeka kingine jamaa unayemkosoa...
  2. Godfrey Tulu

    Mifuko ya kuhifadhia bidhaa ambayo iko customised

    Mifuko yako ilikuwa ni ile ya karatasi bila shaka.. ama, mana nilikuwa nazungumzia ile ya plastic
  3. Godfrey Tulu

    Mifuko ya kuhifadhia bidhaa ambayo iko customised

    Ahsante sana bro. Ubarikiwe sana.
  4. Godfrey Tulu

    Mifuko ya kuhifadhia bidhaa ambayo iko customised

    Habari zenu wadau wa biashara, uchumi na ujasiliamalia? Ebana ningependa kufahamu juu ya upatikanaji wa vifuko vya ujazo tofauti kwa ajili ya kuhifadhia bidhaa ila ningependa kufahamu haswa ile ambayo iko customised kwa logo na business info nyingine na siyo ambayo iko plain. Mfano mzuri ni...
Back
Top Bottom