Ni sheeda!maandiko yanadai hakuna mtakatifu duniani wote ni wadhambi tu,na kama wapo mungu mwenyewe anawajua na syo sie hapa chini ya jua!umeelewa ww kipofu!?
Eti mtakatifu hebu niambie ni wapi pameandikwa papa anaweza kusamehe dhambi au kuw mtakatifu??
Endelea kuabudu mama wa yesu ambae ni...
Ni nchi ndogo kuliko zote duniani lakini ni nchi inayoongoza kwa matumizi ya mvinyo(pombe Kali)
Utasema hapo kuna mungu?
Mungu hataki kuwe na baba au mtakatifu yoyote huku duniani kwakua mwenye sifa hizo ni yy pekee utaona hata yesu alikataa kuitwa mwema je!?ninyi wakatolic ni nani aliewapa...
Ukitaka kupotea unapotea na usipotaka basi huwezi kupotea kwakua uwezo wa kuitambua njia unao,,
Ingia ktk mtandao wa www.vaticancrimes.com utakuja na majibu tosha kuwa Hyo vatican ni nchi ndogo kuliko zote yenye wakazi chini ya laki 8 wengi wakiwa ni jamii ya Jesuits na hawa ndo vinara wa...
Maandiko yanasema kama ni kusali na shetani anasali pia,kama ni kuamini shetani haishii kuamini tu Bali yy anaamini na kutetemeka pia,kama nisadaka na shetani anatoa,,na ikiwa ni kufunga hata ibirisi wala hali lakini kumbuka haya yote ni maigizo tu ili aweze kupoteza roho za watu wengi ukiweza...
Kwa taarifa yako huna unachokijua hata kimoja kuwa utaratibu mpya w dunia ya sasa iliyo mikononi mwa wenye dhambi,na ktk hilo kinara wa siri wa mambo yote hayo ni kiongozi wa kanisa katoriki na usipoamini syo lazima Baki hvohvo na upofu wako
Kwa wale wabishi na wanaotaka kuelewa zaidi wasome ufunuo 13:1-18 kisha tukutane #sittaplusgmail.com
Hii ni kwa mwenye Nia tu ya kutaka kujua utimilifu Wa unabii kuhusu Siku za mwisho pia nakaribisha maswali yote kuhusu unabii Wa Siku za mwisho na pia kuhusu mtandao unaotawala sayari hii kwa...
Vitu vyote vinavotumia mawimbi ya umeme vinapitia Kwene super computer iliyoko merryland huko USA iliokua na code#ya 666 na hivo vifaa vyote mfano atm card na radio nk vyote lazima viwe na chip ambayo serial #yake iwe tiar instored na ili iweze kusomwa na hii supercomputer lazima tu iwe na 666...
RFID=radio frequency id
Na 666 ni alama na nembo ya mpinga kristo wengne wanamwita masihi dajjal huyu anatarajiwa kufika mda wowote ktk vizazi hivi vinavoandaliwa kumpokea na ili afike lazima kila aina ya ubaya uhalalishwe mfano ndoa za jinsia moja,mauaji,nk
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.