Recent content by Godfrey Patrice

  1. G

    JamiiForums Tanzania Baada ya mke wangu kunipiga mara kwa mara rafiki zangu wamenishauri nioe mke wa pili ataacha kunipiga.

    Kama mna watoto jaribu kuwa karibu na Mungu kwa kwenda kanisani na wote msali vilevile shirikisha watu wa imani kwenye ndoa yako, ila kama huna watoto nae ni bora kuachana nae na uoe mwingine na wala si kuwa na wake2 watakuchanganya kichwa. Pole sana!
  2. G

    JamiiForums Tanzania Machinga wapinga agizo la RC Dar kuzuia uuzwaji wa Filamu za nje ya nchi, Waandamana

    Mi mwenyewe napenda za mapingano kama amerika vs vetman wapi na wapi bongo movies Siwezi nunua za mapenzi na umbeya mtupu nitaenda mtandaoni kupakua ninazotaka
Back
Top Bottom