Recent content by godfrey m

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Kufahamu Kuhusu Kilimo cha Karanga

    Kwa anayefahamu gharama za kulima eka 1 ya karanga, matarajio ya mavuno na bei ya karanga sokoni tafadhali anifahamishe.
  2. G

    JamiiForums Tanzania sheria za usalama barabarani

    wanaofahamu wanijuze sheria za barabara zikoje trafic police akikukamata na kosa
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mwenyeki wa serikali ya mtaa anaruhusiwa kisheria?

    kiwanja changu hakijapimwa lakini mwenyekiti wa serikali ya mtaa ameamua sehemu ya kiwanja change kuwa barabara labda sababu nimechelewa kujenga, naomba ushauri katika hili
  4. G

    JamiiForums Tanzania Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

    ninazo karanga miti (macadamia nuts) nyingi zisizobangulia pia naweza kuziandaa vizuri, anayefahamu soko tafadhali anijulishe
Back
Top Bottom