Recent content by Godfrey Kwileja

  1. G

    Huu ndio mwisho wa CLOUDS FM

    Hamna chamaana ulichozungimzia wameshalalamika wengi xana hata km ni taasisi binafsi mmeujumu wengi ila jaydee hamtomuweza kwa sasa yuko mbali xana kimaisha hata hizo tunzo sidhani km zitamsaidia anasupport kubwa kutoka kwa wananchi
  2. G

    Ruge Mutahaba kumjibu Lady Jay Dee Jumatatu

    Lazima ili swala tuliangalie kwa makini na sikutuma post pasipo kufikiria hili swala la jaydee alijaanzia kwake kulalamika wamepita wasanii wengi wamelalamika bila kusahau ant-virus project iliyoanzishwa na Sugu kwamba ilikuwa nalengo gani haya makundi mangapi yamekufa na wasanii wangapi...
  3. G

    Kwa nini ndoa nyingi zinavunjika?

    Kweli ilo nitatizo kubwa xana nilazima tujipe Muda kwa wasichana na wavulana kabda yakuchukua hatua ya kuoa au kuolewa kwamba ni muda sawia usiingie kwenye ndoa km sifa au kutimiza wajibu
Back
Top Bottom