Ila mm binafsi naona kuna haja ya kuwa na serikali ya Tanganyika kwani kama Zanzibar wanamamlaka Sao, wanajitegemea kwa kila kitu. He umuhimu wa muungano ni upi?? Kama mtu anayetoka Tanzania bara hamiliki ardhi ndani ya Zanzibar pia mealing kutoka Zanzibar anaruhusiwa kufundisha sehemu yeyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.