Recent content by God Forbid

  1. G

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa, nimechoka! Naona haya maisha hayana faida!

    [emoji25][emoji25]
  2. G

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa, nimechoka! Naona haya maisha hayana faida!

    Nashukuru Kwa hayo, yakufanyia kazi nitayayafanyia mkuu!
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa, nimechoka! Naona haya maisha hayana faida!

    Ni Kwa mwezi mkuu!!
  4. G

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa, nimechoka! Naona haya maisha hayana faida!

    Nimeupokea ushauri mkuu!!
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa, nimechoka! Naona haya maisha hayana faida!

    Kujilipua Kwa kuandika namba, nitalitafakari Kama italazimu! Ila Kama yupo atakayewiwa Kwa namna nilivyokuelewa ulichomaanisha anaweza kuja pm nitampa namba! Kama itabidi nitafanya hiyo mkuu!!
  6. G

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa, nimechoka! Naona haya maisha hayana faida!

    Upo sahihi mkuu!!!
  7. G

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa, nimechoka! Naona haya maisha hayana faida!

    Kikawaida ni 150k, ila Kwa kuwa ni sehemu nimeishi muda mrefu mwenye nyumba alinipa unafuu baada ya kuongea nae Kwa kina akashusha Hadi 120 [emoji17][emoji17]
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa, nimechoka! Naona haya maisha hayana faida!

    Kweli mkuu, japo nashukuru Kwa wengi walivyoandika maneno ya kuleta tumainina kutia moyo ila ulichoandika ndio uhalisia! Yaani hapa mwenye nyumba ananivzia kila Kona, maduka yanayonizunguka nimekopa yote! Hapa Leo mtoto anahitaji hata pumpers, Sina wife ananinunia tu! J3 Kuna ninayetakiwa...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa, nimechoka! Naona haya maisha hayana faida!

    Mkuu, hayo niliyoandika Sina nguvu ya kumweleza mtu ana Kwa ana! Ndio maana nimeiona niandike humu!
  10. G

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa, nimechoka! Naona haya maisha hayana faida!

    Kuhusu ni biashara Gani, na sababu za biashara kufa ni ishu nyingine mkuu! Inanikumbusha mengi machungu! Nikiweza nitakuja kueleza ni nini kilitokea!
  11. G

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa, nimechoka! Naona haya maisha hayana faida!

    [emoji20][emoji20]
  12. G

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa, nimechoka! Naona haya maisha hayana faida!

    Daah nimeandika nikafuta, nikaandika nimefuata., Tokea Wiki nilitaka kuandika hili, nikawa najaribu kusubiri huenda ningepata majibu ila kwa sasa nimeiona niyatoe ya moyoni! Kwanza nikiri nimekuwa mtumiaji wa hili jukwaa Kwa muda mrefu, zaidi ya miaka 15! Nimekuwa nikiona nyuzi tofauti za watu...
Back
Top Bottom