Recent content by Go Millets

  1. Go Millets

    Hawa wote hawalipi KODI hapa Tanzania

    Na watu kama wamachinga kwa mwezi wanaingiza pesa nyingo sana kuliko Mfanya kazi mwenye Degree kabisa
  2. Go Millets

    Natafuta kazi

    From Mzumbe? Hii kozi ilikuwa Hot sana enzi zetu,
  3. Go Millets

    Nahitaji mtu wa Sales & Marketing Arusha

    Ninahitaji mtu kwa ajili ya Marketing na Sales kwa Arusha. Sifa; Diploma au Certficate ya Marketing Awe na uzoefu kwenye Sales and Marketing kwa kipindi cha mwaka mmoja hasa kwenye Bevarage Industry. Awe ana ijua vyema jiji la Arusha na Wilaya za jirani. Anaye weza fanya kazi bila kusimamiwa...
Back
Top Bottom