Recent content by gmasanja72

  1. G

    Mambo gani Lowassa ayatekeleze tukimpatia ridhaa awe Rais wa JMT

    Mbona alipokuwa waziri mkuu hakufanya hayo wakati alikuwa kiongozi mkubwa. Na angeweza kubadilisha mfumo unaolalamikiwa lakini hakufanya
  2. G

    Chonde chode mliokatwa amani yetu ni muhimu

    Lakini mbona hatujaona Chadema ikufungua milango kwa wanachama wengine wachukue fomu? Wamemuandaa EL pekee ... hiyo ndiyo demokrasia kweli? Mnasema CCM haina demokrasia mbona hata Chadema siioni? maamuzi yote yalifanywa na wachache juu. Mimi siyo mwanachama wa chama chochote ila naangalia mambo...
  3. G

    Pamoja na ujio wa Lowassa CHADEMA, Dr. Slaa ni chaguo sahihi kugombea Urais

    Mimi nadhani Chadema ingeweza kuchukua nchi 2020 kama wangemuweka Dr. Slaa
  4. G

    Mambo gani Lowassa ayatekeleze tukimpatia ridhaa awe Rais wa JMT

    Lakini mbona hivyo viwanja vinatumiwa na wananchi wote kama pale CCM kirumba?
  5. G

    Mambo gani Lowassa ayatekeleze tukimpatia ridhaa awe Rais wa JMT

    Na richmond ambayo ni Dowans je aifanyeje?
  6. G

    Usahihi: Dr. Slaa yupo CHADEMA

    Kwani kwenye hiyo sherehe ya kuchukua fomu EL hakuwepo?
  7. G

    Usahihi: Dr. Slaa yupo CHADEMA

    Wana JF tutazungumza mengi lakini mwisho wa siku kila mtu anakura ya kupiga moja. Huwezi sema fulani atashinda wakiti wewe kura yako moja ... hujui wengine watampigia nani.
Back
Top Bottom