Recent content by Gmandy

  1. Gmandy

    Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

    Asante kaka falcon!, natarajia kwenda Kampala jumanne, nitafata miongozo ya humu itanisaidia.ni mara yangu ya kwanza kwenda huko.shukran sana!
  2. Gmandy

    Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

    Pia zaidi ya passport kitu gani muhimu anatakiwa awe nacho abiria kutoka Tz kwenda Uganda?
  3. Gmandy

    Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

    Nauli ya Dar Uganda kiasi gani, basi gani zuri na linapita njia zipi? Safari ni ya siku ngapi?@falco mombasa
  4. Gmandy

    Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

    Tusaidiane jamani, mmenifungua mno macho ya biashara, nina mtaji lakini nilikuwa na maswali kichwani bila majibu, asante nimeyapata majibu hapa,Mungu akijalia wiki ijayo niende UG, lakini nilitaka kujua kwenye swala la kubadili pesa yaani tsh to UG sh, au usd to ugsh kipi ni bora na wapi pazuri...
Back
Top Bottom