Recent content by Glue

  1. Glue

    R.A kuchangia Yanga,wakati wafanyakazi wake Hoi

    Mwezi uliopita kapunguza zaidi ya half of his employees tena wameondoka bila malipo. Watu wapo mtaani tu wanasubiri malipo hakuna huku yy anatoa misaada kwenye michezo
  2. Glue

    R.A kuchangia Yanga,wakati wafanyakazi wake Hoi

    Ndio yeye mkuu. Yaani ni unafiki at its best!
  3. Glue

    R.A kuchangia Yanga,wakati wafanyakazi wake Hoi

    We utakua ni mmoja wa mamluki wake. Ukishapoozwa unasau wenzio. Hata kama angekuwa ni mmoja we unaona ni sahihi kufanyiwa hivyo?
  4. Glue

    R.A kuchangia Yanga,wakati wafanyakazi wake Hoi

    Hii ni kutafuta kiki. Huwezi acha wafanyakazi wako wakifa na njaa af ww ukatoe misaada ili tu uonekane na watu kuwa una roho ya kutoa. Hovyo kabisa!
  5. Glue

    R.A kuchangia Yanga,wakati wafanyakazi wake Hoi

    Kwa mtazamo wangu mdogo naona haiingii akilini kwa RA kuchangia YANGA million 200 na Taifa stars Milioni 30 wakati wafanyakazi wako hujawalipa mishahara kwa zaidi ya miezi 8. Kwangu me naona ni kutafuta kiki za kisiasa. Ni sawa na kuwashindisha njaa watoto wako nyumbani kwa malengo ya kuweka...
  6. Glue

    Bunge laazimia kutofanya kazi na CAG kufuatia kauli yake juu ya 'udhaifu wa Bunge'

    So hakutakiwi kuwa na mawazo kinzani? yeyote "against" is automatically "out". hii kali!
  7. Glue

    Bunge laazimia kutofanya kazi na CAG kufuatia kauli yake juu ya 'udhaifu wa Bunge'

    Ila hakuna kinachoshindikana chini ya jua la Tanzania
  8. Glue

    Kampuni ya Habari leo walipeni mishahara wafanyakazi wenu

    Ni typo. Andiko lilihusu NEW HABARI. Kiukweli wanaumiza wafanyakazi jamani. Hakuna mishahara ilihali wamiliki wanakula bata
  9. Glue

    Kampuni ya Habari leo walipeni mishahara wafanyakazi wenu

    Tusub iri wahusika waje watoe ushahidi wa hiili andiko kabla ya kulicriticize! Huna haki ya kucriticize kama huna taarifa za kutosha. Remember....No research no right to speak!
  10. Glue

    Kampuni ya Habari leo walipeni mishahara wafanyakazi wenu

    Mauzo ya sasa ni same as befeore why now washindwe kuwalipa watu hela zao? Matangazo wanapata na hela zinaingia ila hazionekani zinapotelea wapi. Labda wameanza kampeni mapema hivyo priority ya mapato kwa sasa ni kampeni wenye kampuni warudi bungeni 2020 who knows??
  11. Glue

    Kampuni ya Habari leo walipeni mishahara wafanyakazi wenu

    Kumekuwa na malalamiko ya kutokupatiwa mishahara kwa wafanyakazi wa kampuni ya NEW HABARI . Yaani kulipa watu stahiki zao imekuwa ni suala la huruma ya mwajiri kwa kigezo cha kampuni kutokuwa na hela. Inawezekana vipi kampuni isiwe na mapato ilihali biashara inafanyika bila shida yoyote...
  12. Glue

    Tupeane updates za mgao wa umeme leo kwa jiji la Dar

    Mwananyamala unakatika kila siku asubuhi unarudi jioni
  13. Glue

    Tupeane updates za mgao wa umeme leo kwa jiji la Dar

    Uje uone fukuto lake kwanza af ndo ucomment! Ni hatari nakwambia...nusu ya jehanamu huku
Back
Top Bottom