Sikwamba zikiwa nyingi kuweka bei inashindikana ila kufanya promotion kiongozi kwenye social medias au sehemu yoyote haimaanishi mpaka uweke kila ktu bali una weka maelezo mafupi ili hata msomaji au msikilizaj awe na kiu ya kutaka kujua zaidi kuhusu huduma zilizopo au pengine anaweza akawa na...
Njoo sasa tukuagizie simu aina ya IPHONE, SAMSUNG, HUAWEI, GOOGLEPIXEL, XIAOMI, ONEPLUS pamoja na simu za batani kama vile NOKIA EXPRESS MUSIC n.k
Kuanzia iPhone 6 hadi iPhone X utajipatia kwakuanzia Tsh.390,000 mpaka Tsh.1,900,000
Kuanzia Samsung J1 ACE hadi NOTE 9 utajipatia kwakuanzia...
Sisi hapa ofisini tunaagiza mkuu na ndio njia rahisi hata kwetu kutokukaa na bidhaa kwa muda mrefu kwani zamani tulikua tukiagiza na kuziweka ofisini ila bado wateja wakija wanaitaji kuagiza maana tunazokua nazo huenda wateja hawaziitaji kwaiyo tunampa mteja opption yakuchagua simu yoyote...
Huchukua siku 10 ambapo si razima ukalipia kiasi chote ila utalipia kiasi ambacho ni asilimia kadhaa ya hiyo simu mfano kama ni Iphone 6 16GB inauzwa kwa 390,000 basi utatakiwa kwanza ulipie 280,000 na baada ya mzigo kufika ndipo utakuja kukamilisha kiasi ambacho kimebaki
Bei ni moja tu kwa wanunuaji wa jumla na hata wa rejareja
Kuhusu muda wa simu hizo kufika huchukua siku zisizo zidi 10
Malip nikwa awamu mbili nayo ni kabla na baada ya mzigo kufika ambapo kuna mkataba tunakukabizi mteja
Kuhusu kuweka na bei imeshindikana kutokana na simu ni nyingi na kila bei...
kuhusu usalama ni 100% ukisha fika ofisini kuna mikataba na utaratibu kuhusu malipo na malipo yote hufanyika ndani ya ofisi na labda kwa wale wa mikoani kuna utaratibu mwingine ila kuhusu usalama hilo odoa shaka
Njoo sasa tukuagizie simu uipendayo kati ya Iphone, Huawei, Samsung, GooglePixel, Xiaomi na OnePlus kwabei nafuu kabisa pia utajipatia na ofa moja wapo utakayo itaji mteja kati ya wireless Earphone, Kava kali kwaajili ya simu yako au Kifurushi cha Internet mwezi mzima
Pia tunaagiza kwa Bei ya...
Tupo magomeni mapipa mkabala na kituo cha mwendokasi, Jengo la Rubeya, Floor ya kwanza.
MAWASILIANO
0767362849
0676648992
Njoo uipatie wallpaper za ukutani za 3D kwabei poa kabisa
1. Upana 70cm na Urefu 77cm kwa Tsh.60,000/=
2. Na zenye squer mita 5.3 kwa Tsh.110,000/=
3. Pia na 10pics zenye...
Njoo agiza nasi sasa bidhaa yako uipendayo kwa bei nafuu kabisa.
Tupo magomeni mapipa mkabala na kituo cha mwendokasi, Jengo la Rubeya, Floor ya kwanza.
MAWASILIANO
0767362849
0676648992
Utajipatia Simu kali na zenye uwezo mzuri, Earphones aina zote na za simu zote, Spika za Bluetooth aina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.